Waziri Mkuu, mfumo wa TRA wa utoaji TIN Namba unahujumiwa

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,478
12,736
Mhe. Waziri Mkuu Hongera kwa kazi nzuri, sisi Watanzania tunakupa Hongera kwa kazi nzuri unazoendelea kuchapa. Hongera kunyoosha TANESCO, Bandari, EPZA nk.

Kwa sasa mulika TRA mitandao yao mingi ya utoaji Control namba na TIN namba haifanyikazi kama zamani. Tangu Jumatatu ya wiki hii TIN namba hazitoki mtandao hauko vizuri, picha unaweza kupiga mara tatu lakini ukienda unaambiwa haionekani rudia tena, Control namba pia mgogoro.

Saidia Watanzania wanaopotezewa muda wao na wahujumu wachache pale TRA HQ.

Kazi iendeleee
 
E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Back
Top Bottom