Waziri Mkuu Majaliwa: RC wa Arusha ni jembe

Waziri Mkuu wa Tanzania,Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa amewaambia wananchi wa Arusha kuwa wamepelekewa Mkuu wa Mkoa jembe. Waziri Mkuu anaendelea na ziara yake ya kiserikali katika mkoa wa Arusha.

Mkuu wa mkoa wa Arusha ni Mrisho Gambo. Waziri Mkuu alikuwa akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha kuhusu mambo mbalimbali ya kimaendeleo.

Chanzo : ITV Habari
mlevi kisifia pombe na mlevi mwenzie Ni kawaida
 
Back
Top Bottom