Waziri Mkuu Majaliwa: RC wa Arusha ni jembe

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,195
25,513
Waziri Mkuu wa Tanzania,Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa amewaambia wananchi wa Arusha kuwa wamepelekewa Mkuu wa Mkoa jembe. Waziri Mkuu anaendelea na ziara yake ya kiserikali katika mkoa wa Arusha.

Mkuu wa mkoa wa Arusha ni Mrisho Gambo. Waziri Mkuu alikuwa akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha kuhusu mambo mbalimbali ya kimaendeleo.

Chanzo : ITV Habari
 
Ni kweli jembe lao mauchwara nawashauri wakalimie lami.
 
Hii serikali usipokuwa mpenda sifa husifiwi. lzm uwe Makonda na Gambo type.
 
Waziri Mkuu wa Tanzania,Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa amewaambia wananchi wa Arusha kuwa wamepelekewa Mkuu wa Mkoa jembe. Waziri Mkuu anaendelea na ziara yake ya kiserikali katika mkoa wa Arusha.

Mkuu wa mkoa wa Arusha ni Mrisho Gambo. Waziri Mkuu alikuwa akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha kuhusu mambo mbalimbali ya kimaendeleo.

Chanzo : ITV Habari
ukijitoa ufahamu awamu hii ww ni jembe
 
Back
Top Bottom