Waziri Mkuu Majaliwa : Prof Muhongo Kisarawe kuwe na Umeme wa Uhakika

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,685
22,694
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuhakikisha eneo la Kisarawe linakuwa na umeme wa uhakika ili kuwezesha viwanda na wananchi wa eneo hilo kupata nishati hiyo.



Chanzo : Radio One
 
Huo umeme wa uhakika utoke wapi wakati tu sasa kuna mgao wa umeme nchi nzima kasoro dar es salaam. maana wanaogopa wakikata dar ni majipu, ila mikoani tunateseka
 
Umeme wa uhakika!!!! nakumbuka mbwembwe za JK wakati anaweka msingi pale kinyerezi ndio utajua hawa jamaa wanatuchezea shere
 
Back
Top Bottom