Waziri Mkuu Majaliwa: Patahitajika umakini mkubwa sana kama itakuwepo haja ya kuigawa TANESCO

Kugawa shirika linalohudumia nchi nzima lenyewe ili lilete ufanisi inaonekana ishu ila kuigawa Geita izae Chato hapo sawa tena na mapambio mengi tu kuwa mkoa wa Geita unawatu wengi so ili huduma ziwe rahisi kwa wananchi lazima mkoa huo ugawike
 
^Kijana wangu, kwa kasi hii ya ubinafsishaji unaoufanya nchini, siku moja tutaamka asubuhi umebinafsisha mpaka jeshi letu^~ Ilisikika sauti ya mzalendo mmoja kutoka Butiama.
Daaaah,ndio maana wanaushirika wanapata tabu sana nchi hii,hawana vyombo vyao vya kuwapa mitaji kwa kuzingatia hali za vyama vyao
 
Nasikia hangaya huko majuu uzunguni kuna mikataba kadhaa atasaini mbele ya hao wazungu. Kwa kweli Mungu atunusuru.
Wazungu wanatujua kwamba ni hopeless species, angalia hii namna wanavyo tudharau. HAIWEZEKANI mtu una resources za kila aina miaka 60 ya uhuru bado tunakuwa omba omba hadi tujengewe matundu ya choo.

 


Halafu sasa wakasome kuhusu Gas and Electricity Marketing Authority (GEMA) hiyo ni department ya serikali na yenyewe inasimamia shughuli za huyo ofgem.

Sikia tu private organisation kwenye nishati huko kwa mabeberu embu wasome kwanza kazi ya hao ofgem na regulation conditions za ku operate such businesses.

Watakwambia kuna ushindani ukiona kuna vikampuni vinavyosambaza nishati vinaanguka vinaachwa vife tu na serikali zao jua ni kwa sababu havina impact sokoni na kuna taratibu za kuamisha wateja kwenda kwa supplier mwingine kabla ya kuondoka sokoni hakuna kumuacha mtu gizani; regulator knows exactly when to intervene kuhakikisha hakuna madhara. Kuna watu humo ofgem wana qualifications za kuendesha hayo mashirika so they no mambo yanapoanza kwenda mrama.


Lakini siku ukisikia moja wa hao ☝️big six supplier wa UK anamatatizo kwanza ata kabla awajafikia hatua za hatari serikali italichukua hilo shirika na kuliendesha wenyewe mpaka liwe stable baada ya hapo auziwe mtu mwingine.

Tunadhani wamebinafsisha tu uzalishaji wa umeme na usambazaji wa Gas kishamba tu kama sisi tunavyoongea. Ukaguzi na operation strategy za hayo mashirika ni ya serikali kwa asilimia kubwa sio zao. Kwa tunao hao wataalamu wa kukagua strategy za mashirika ya umeme kwanza? kama G.M wa TANESCO unga unga tu.

Sasa watu wanaofikiria kuligawa shirika bila ya hata kuwa na mechanism ya kusimamia uzalishaji wanauelewa kweli wa maswala ya nishati and it’s priority kwenye national security.

Pana wakati tunapozodoa watu wengine wanaweza dhani ni chuki binafsi na wahusika. La hasha kama una elementary knowledge tu ya industry husika au discipline husika; you can tell from outset ukisikia tu mipango ya wahusika na awa watu wa Makamba including yeye mwenyewe hiyo shughuli sio size yao.

January anatengeneza matatizo makubwa hapo. Uwezi kutoa wataalamu taasisi kama hiyo uweke watu ambao wajifunzie kuendesha shirika whilst they are M.D or in the board of director. Kwa sasa tatizo number 1 la TANESCO ni waziri na team yake.
 
Waziri mkuu mh Majaliwa Kassim Majaliwa amesema patahitajika umakini mkubwa sana kama itaonekana kuna haja ya kuligawa Shirika la Umeme Tanesco.

Source: Radio One
Sawa .....umakini mkubwa sana ndio upi? Atueleze kirefu ana maana gani, na atoe point zake za kututabainisha huo umakini mkubwa sana tuuchambue. Hapo atakuwa ametusaidia.

Kwa kusema general tu hivyo...nadhani wengi hatumuelewi. Tunaomba waliomuelewa watujuze sie ambao hatujaelewa, huo umakini mkubwa ni nini?
 
Hii Tanesco mbona kama Prop Muhongo alishaigawanya kwenye 3 divisions.

shida ya Tanesco ni aina ya waajiriwa, mfumo wa kuajilo ubadirishwe uendane na matakwa ya dunia, mfumo wa utendaji kazi ubadirishwe na iwe perfomance based na sio this fuckin mtu anaajiliwa analalalala na kuzembeazembea mpaka anastaafu..

We have to stop this fuckin scales, people should be payed based on their perfomance. Hiring and firing should be normal practice..
Haiwezekani kila siku taifa linaangaika na ujinga wa the so called failure and perfomance huku tuna watanzania wengi mitaani na mijinga iko tu maofisini ina mark time tu....fire them and hire new staff, give them target and test their perfomance.....ungesengese kila siku mnakera..
 
Miaka nenda rudi tunalalamika na mambo yake yale, perfomance, perfomance,perfomance...pumbavu kabisa.

Mijitu ipo ofisini inakwenda na kurudi kila siku kazini na huku kila siki Taifa linalalamika perfomance aka utendaji mbovu na kushindwa kuleta tija.....Tanesco, bandari, nk....

Wapeni target na kila mtu asign perfomance form aka commitment form....failure to perform, will be all fired without any package.. tuache kuleanaleana..
 
Mkuu taratibu ina umiza Sana hasa kwenye kukatika kwa umeme uku tulio wapa madalaka wapo wapo tu Kama kuku wenye kideri
 
Chui Jike.
images (78).jpeg
 
''Mtanikumbuka kwa mema.''
Hata hatujasahau! Kazi kweli kweli, Aibu sana kurudisha mgao na ma-generator.
 
Nasikia hangaya huko majuu uzunguni kuna mikataba kadhaa atasaini mbele ya hao wazungu. Kwa kweli Mungu atunusuru.
Majaliwa ni kama yupo sahihi, naona anawapunguza speed kwa kuwa aloongea ni mbunge wa ccm na mfanyabiashara (tarimba) inawezekana anachokonoa lakini mipango ishasukwa kwa iyo majaliwa anawakumbusha wawe makin
 
Majaliwa ni kama yupo sahihi, naona anawapunguza speed kwa kuwa aloongea ni mbunge wa ccm na mfanyabiashara (tarimba) inawezekana anachokonoa lakini mipango ishasukwa kwa iyo majaliwa anawakumbusha wawe makin
Majaliwa ni PM, ashupaze misuli, hawa watoto wa watumwa wanawahadaa Watanzania. Hebu akapitie kurasa tano tu za Marehemu Sokoine ili afahamu uwezo mkubwa aliopewa wa kuwa Waziri Mkuu (Prime Minister), waache kumchezea. Watanzania wengi wanamtegemea, kama hawezi kutumia nguvu alizopewa aachie ngazi.
 
Back
Top Bottom