UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 8,517
- 7,721
Adui mkubwa namba moja wa nchi hii ni sisi wananchi wenyewe; ccm ni sehemu ndogo sana kwenye wingi mkubwa wetu wananchi.Bila kutambua kuwa adui namba moja wa nchi hii ni CCM, hatutasonga mbele kamwe.
CCM Chanzo Cha Matatizo
Wanaohujumu miradi ya maendeleo ni sisi wenyewe!
Wanaoshangilia miradi ikihujumiwa ni sisi wenyewe!
Wanaorusha lawama kwa viongozi miradi inapohujumiwa ni sisi hao hao wahujumu!
Adui yetu ni sisi wenyewe, tukiamua kuacha kujiadui wenyewe ccm hawawezi kutulazimisha.