kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 5,984
- 6,645
Viongozi wa kiafrika huwa hawana utu wala kufikiria wengine!!! Chamuhimu yeye anakula,anajenga anaheshimiwa na kutetemekewa basi kwake hilo linatosha...anachojali ni kutetea ujinga wowote toka kwa mkuu wake wakazi na kwa style hii watumishi waumma na serikali wahesabu miaka mingi ya umaskini,kukata tamaa,tabu,njaa na madeni lukuki maana hayo humfurahisha kiongozi wao mkuu naye hujionea fahari pale wanapolialia shida huku yeye akibeua kwa kushiba kulikopitiliza. Next time tujifunze kuchagua kiongozi anayeweka mbele utu wawatu anaoongoza kabla ya sifa binafsi