Waziri mkuu Majaliwa atinga bandarini na kukuta magari 44 yakitaka kutolewa kwa kutumia jina lake

advice: do philosophical rejuvenation, things will get better. Consider yourself lucky. Most of your colleagues (crooks in the former regime) have been indicted.

Yeah, we have that “things will get better” rhetoric since independence!

The one who should consider himself lucky is Magufuli, as instead of being in jail, he is at the state house! That’s LUCKY bruv.
 
Hivi kweli serikali imeshindwa kuondoa watu pale bandari na kuwapeleka kwenye "kuwapangia kazi nyingine kabisa jamani!?"

Ningekuwa Rais au PM Majaliwa, hawa wote huko bandari ningewatengenezea " Bodi ya Nyuki" na kuwapeleka wote hukooo.

Tena mishahara yao, wafunge nyuki, waline asali, wauze kisha wajilipe.

Tumechoka huu upupu wa bandarini kila uchwao.
 
Acha kukariri wewe boya! Nchi ilioza uoande gani kati ya kichwani, miguuni au tumboni? Kuna kakikundi ka watu wachache wanapiga hela mbaya tena kwa njia zile mnazoaminishwa zimebanwa halafu wewe unakuwa kasuku type hapa! Kama nchi ilioza ni miaka 20 wakati huyo naye alikuwa mmoja wa walioiozesha nchi na kama anajua ulipo uozo auendee moja kwa moja aache kuupapasa!
Sawa Boya, najibu bila kukariri, nchi ilikuwa safi sana, huyu bwana anaiharibu tu na Majaliwa wake!
 
Sawa Boya, najibu bila kukariri, nchi ilikuwa safi sana, huyu bwana anaiharibu tu na Majaliwa wake!
Boya la maboya! Ushachukua buku 7 kwa polex2? Na amekuassure kuwepo kwenye ajira mpya za january? Endelea kuchapa humu jf uzidi kuonekana kuwa wewe ni ccm kindakindaki na unajua kuzipangilia hoja! Empty skull!
 
Back
Top Bottom