4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 5,978
- 6,782
Ndo zao Hawa utadhani wao ni Mungu, tulionya Sana Mambo Kama haya kipindi Cha mwendazakeKauli hii kutoka kwa Waziri Mkuu akiwa kwenye uzinduzi wa mpango wa maendeleo na kampeni ya UVIKO ni ya kufikirisha sana sana, ametangaza kuwa Rais Samia atakuwa Rais wa Tanzania mpaka 2030, binafsi na laani kauli hii na inafanya wapenda Democrasia na Maendeleo wawe na maswali mengi sana ya kufikirisha, je mfumo wa upigaji kura na uvamizi utakuwa kama ule wa Mwaka 2020? maana hili tu pekee ndio laweza kufanikisha swala hili.
Inasikitisha sana sana sana kwa yeye kutoa tamko kama hili, je nchi hii mmiliki wake ni nani, je wananchi wanachukuliwaje au sati zao zinapokelewaje kwenye kupiga kura kama kina nani kama wasio faa au hawana mamlaka ya kumpa kura mwingine yeyote yule? TAFAKARI kuna kitu lazima. ila tufahamu tu kwamba Mwenyezi Mungu ni wa kila mtanzania na ndiye huamua nini kifanyike na nini kisifanyike.