Waziri Mkuu Majaliwa ampa angalizo RC Kebwe. Amwambia mkoa wake umekithiri kwa matumizi mabaya ya fedha

Mwaka 2010 Dr Kebwe alipewa ubunge Jimbo la Serengeti lakini hakufanya chochote cha maana ndiyo maana mwaka 2015 wananchi wa Serengeti wakampiga chini. Siku rais amefanya ziara Serengeti alimsifia sana Dr Kebwe tena kwa vitu vidovidogo mno ila leo mwenyewe amethibitisha hakutosha huko morogoro. Ukweli ni kuwa wananchi wakiachwa huru wanawafahamu viongozi wao maana wanaishi nao.
Dr Kebwe ni mtu mwenye kuweza vitu vidovidogo ambavyo kujina jepesi ni taklima, uwezo wake wa kusimamia, kuamua, kushawishi na hata kutekeleza uko chini mno. Na hata km atapata ubunge Jimbo la Serengeti ni kwa kuwa hamna strong competitors na Jimbo hilo halijapata mwakilishi mahili wakati wote.
Nakuhakikishia km kweli nchi ingekuwa serious juu ya maendeleo most of the leaders ni pretenders,they don't do real matters.
Ipo mikoa kibao changamoto rukuki. Wewe jiulize ishu ya madawati imeishia wapi? Mpaka Leo zipo shule ukimhamishia mwanao mpaka ununue meza na kiti na nyingi ziko dar es salaam, unajiuliza what went wrong?Nenda hospitals no dawa what went wrong? Nenda shuleni madarasa yote ya mitihani hasa la nne na la saba mzazi au mlezi anaambiwa wanachangia 300 kila siku na 1000 kwa ajili ya mitihani utajiuliza what went wrong? Nenda barabarani traffic ni kupokea rushwa utajiuliza what went wrong? Kwa wasaidizi wa rais wanahadaa nchi through media. Kuna ziara ya naibu waziri tamisemi Mwita Waitara nilihudhulia pale vijibweni manispaa ya kigamboni dsm ilionekana ktk shule ya msingi vijibweni kuna upotevu wa pesa million 14 lkn alishia kwenye media tu na nilivyojaribu kufatilia maagizo yake nothing kilichofanyika. Issues nyingi zinaishia kulipotiwa tu.
Serikali hii imejua nguvu ya media lkn inatumia vibaya media. Too much propaganda.
Nakuhakikishia watu wote ambao walitazamiwa kuwa threat kwa taifa hili wanalejea taratibu soon watatamalaki.
 
Hoja yako ni nini hapa, maendeleo au Dr. Kebwe Steven Kebwe mbunge mteule wa Serengeti anaesubiri kuapishwa October 2020?
 
The problem is ccm, yaani hao wakiachia nchi mambo yanakaa sawa
Kweli CCM ni li zimwi, na walipaswa kutoswa siku nyingi kitambo, tatizo CCM wakitoswa, nchi ikabidhiwe kwa nani?.
Kufuatia hakuna wa kumkabidhi, then sisi Watanzania katika umoja wetu, kuliko ku create vacuum, japo CCM ni li zimwi, hili ni zimwi likujualo, halikuli likakwisha, when you have to choose in between two devils, choose the lesser, hivyo tunaendelea kuichagua CCM na CCM itatawala milele.
P
 
Paskali what do u mean by milele,do u know what tomorrow holds,wewe ni Mungu,only God knows our destiny,hao unaowasema hawawezi hawajapewa fursa kuongoza nchi wakashindwa,hayo mawazo yako ya kupiga ramli sidhani kama yana maantik mkuu
 
Jamaa mnafiki huyu,tatizo anapambania teuzi sijui haonekani dah.
Kweli CCM ni li zimwi, na walipaswa kutoswa siku nyingi kitambo, tatizo CCM wakitoswa, nchi ikabidhiwe kwa nani?.
Kufuatia hakuna wa kumkabidhi, then sisi Watanzania katika umoja wetu, kuliko ku create vacuum, japo CCM ni li zimwi, hili ni zimwi likujualo, halikuli likakwisha, when you have to choose in between two devils, choose the lesser, hivyo tunaendelea kuichagua CCM na CCM itatawala milele.
P
 
Paskali what do u mean by milele,do u know what tomorrow holds,wewe ni Mungu,only God knows our destiny,hao unaowasema hawawezi hawajapewa fursa kuongoza nchi wakashindwa,hayo mawazo yako ya kupiga ramli sidhani kama yana maantik mkuu
Mkuu wa Mchangani, hili la CCM kutawala milele, karibu mitaa hii upangue hoja.
P
 
Mkuu wa Mchangani, hili la CCM kutawala milele, karibu mitaa hii upangue hoja.
P
Mavi Kibao huyu jamaa
 
Back
Top Bottom