Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,587
- 22,193
Zitto siyo serikali, Zitto hakusanyi kodi, Zitto ni raia kama wewe hivyo unayomsema ndivyo nawe ulivyo, hata viongozi unaowasifu ni pesa zako na wenzako wanazielekeza sehemu husika.Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.
Kazi za Magufuli zinaonekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wamekalia maneno matupu tu.
Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda wake na heshima yake kwa jamii.