Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Waziri wa viwanda wa Oman

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Biashara wa Oman, Dkt. Ally Mohamed Al Sunaidy Ofisini kwake jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Biashara wa Oman, Dkt. Ally Mohamed Al Sunaidy (wapili kushoto) na ujumbe wake baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam .Wapili kulia ni Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Biashara wa Oman, Dkt Ally Mohamed Al Sunaidy baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam
 
Najaribu kuwaza kwa kutumia maandishi...hivi hawa wa Oman wangekuja unguja wakati ule wakaonana na Maalim Seif,watani wa jadi wangesemaje....mwisho wa kuwaza
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Biashara wa Oman, Dkt. Ally Mohamed Al Sunaidy Ofisini kwake jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Biashara wa Oman, Dkt. Ally Mohamed Al Sunaidy (wapili kushoto) na ujumbe wake baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam .Wapili kulia ni Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Biashara wa Oman, Dkt Ally Mohamed Al Sunaidy baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam
Yaani prof. Muhongo ni jembe ulaya, juzi alikuwa na Irene Musoni akipigania bomba la mafuta, jana alikuwa na salva kiir akitafuta mafuta ya sudan, leo yuko na waziri wa Oman, kesho atakuwa kinyerezi akingalia gesi kama inatoka vizuri, jumatatu asubuhi sana anawahi uganda kuendeleza mapambano na wakenya, safi sana. Na kale kajembe Ombeni hebu katafutie sehemu bwana kanapiga sana kazi, kape nafasi ya mwijage.
 
Back
Top Bottom