Waziri mkuu Majaliwa akutana na ufisadi wa kutisha mgodi wa Ngaka, aagiza uchunguzi kufanyika.

Ili kuichukia sana serikali ya awamu ya nne hatuna budi kuyakumbuka "madudu" haya. Raisi wa sasa alikuwepo madudu haya yakifanyika na mengi tunayaita majipu aliyafahamu. Swali: Kwa nini hakujitenga nayo.

Anayejifanya kupambana na ufisadi sasa alikuwepo bungeni kwa awamu zaidi ya tatu. Wakati upinzani (unaodaiwa "kutetea" ufisadi) ulipokuwa ukipambana sana na ufisadi huyu mpambanaji mkali wa leo alikuwa mpole/mwoga/mnafiki; au sijui alijuwaje. Kama nasema uwongo mdau mmoja atupie hapa hata kaclip ka audio kanakothibitisha kuwa huyu jamaa aliwahi kuwa mpambanaji.

Serikali ya awamu ya 4 ilikuwa na madudu yake yasiyomithilika, na vivyo hivyo serikali ya awamu ya 5.

Tulimvumilia wa awamu ya nne. Tutamvumilia wa awamu ya tano.
kwani hukusikia sababu za yeye kutolewa ujenzi na kupelekwa maji na mifugo?shortly the main reason was jamaa alikataa kupitisha malori yenye vipulu vya boti toka dar to mwanza kwa kuwa vinazidi uzito na upana mara dufu na alishauri ivyo kwa kuwa yeye ndio alikuwa waziri mwenye dhamana but kwa kuwa watu wa juu yake walikuwa na maslahi binafsi waliruhusu na kubariki maovu hayo yafanyike
 
Salute mkuu,

Siku zote mkweli na mtu asiyependa unafiki honekana mapema.

Huyu wanayemuita mtetezi wa wanyonge( ingawa mpaka sasa hajaonyesha kama kweli anaguswa na wanyonge) alikuwepo wakati wa yale madudu hakufunua mdomo kukemea achilia mbali kujiuzulu na kujitenga nao.

Turejee mfano wa deo filikunjombe alivyokuwa anapambana na serikali yake kulinda maslahi ya nchi.

Deo alikuwa hana hata chembe ya unafiki kama hawa wengine mnaowasifu kila siku wakati hao hao wanakashfa kibao walizoshiriki serikali iliyopita.

Viongozi hawa waliopo hawachukii ufisadi na kama wangekuwa wanachuchukia ile mahakama ya mafisadi isinge pumu.

Hivi unaanzaje kukosa kesi wakati huohuo wafuatao wapo mtaani

Lowassa

Prof Tibaijuka

Andrew chenge

Mkulu mwenyewe muuza nyumba zile za

Wabunge wa ccm na ccm kwa ujumla kuhusu zile 10m za kupitisha mswaada wa habari according to mbowe press

Nakataa leo nitakataa kesho nitakaa siku zote Viongozi waliopo hawachukii ufisadi huenda wao ndo wanajitengenezea njia ya kupiga zaidi
mh!
 
Back
Top Bottom