Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Katibu Mkuu wa CCM, Kinana

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielezwa jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana wakati wa mazungumzo yao kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini Dodoma.

Watamharibu, asipende kuwapa nafasi ccm ya kumuona Mara kwa mara
Mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe! !!! Hujui kuwa WM ni CCM??? hujui kuwa KINANA NI BOSI WAKE? ??? Hujui kuwa MAJALIWA anatekeleza ILANI ya CCM ambayo Kinana ndiye Msimamizi mkuu??? Ndo mnavyojitekenya siku zote kuwa Rais na Waziri Mkuu pamoja na Mawaziri wengine siyo CCM??? Anaye taka kumpotosha ni WEWE maana KINANA akisema hafai NDIVYO ITAKAVYOKUWA..Au akivuliwa Uana chama wala WW uliyeko JF hutamsaidia kwa lolote kumrudisha pale kuwa WAZIRI MKUU
 
Nadhani watakuwa wanaongelea jinsi ya kushughulika na na suala la mauaji ya tembo.
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielezwa jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana wakati wa mazungumzo yao kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini Dodoma.

Wasisahau kujadili jinsi ya kuwanusulu Tembo wetu.WM.aangalie katika ile orodha ya meli kama mizigo inayosafirishwa na meli ya msomali hususan meno ya Tembo kama huwa inalipiwa kodi.
 
Kuna watu wanadhani hawa sio wale wale !
Kama sio wale wale mbona Waafanya Yale Yale badala ya kupambana Na ufisadi !!

wanakimbizana Na kujidai kuanzisha msemo wa Kutibua majipu yasiyoeleweka ??

Hapa Mbwembwe tua !!

Subiri kama hutaki
 
Mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe! !!! Hujui kuwa WM ni CCM??? hujui kuwa KINANA NI BOSI WAKE? ??? Hujui kuwa MAJALIWA anatekeleza ILANI ya CCM ambayo Kinana ndiye Msimamizi mkuu??? Ndo mnavyojitekenya siku zote kuwa Rais na Waziri Mkuu pamoja na Mawaziri wengine siyo CCM??? Anaye taka kumpotosha ni WEWE maana KINANA akisema hafai NDIVYO ITAKAVYOKUWA..Au akivuliwa Uana chama wala WW uliyeko JF hutamsaidia kwa lolote kumrudisha pale kuwa WAZIRI MKUU

Tangu lini Kinana.akatamka likatekelezwa?! Waziri yupi mzigo aliyetajwa na Kinana aliyeondolewa kazini?! Kama hakuweza wakati wa JK sembuse kwa JPM ambaye ni Rais asiye mwanasiasa japo ni mccm kwa kadi!!
 
Lkn bado kapendwa hivyo hivyohivyo (na mnajua mziki wake)
Lkn kama hafanyi vizuri mbona ndiyo furaha yenu??? Tangu lini Ukawa akaitakia mema CCM? ? Furahien sasa....ya nyumba ya jirani yasikuumize ni siri yao ndani..wanajua uzuri wake
 
Back
Top Bottom