Waziri Mkuu Majaliwa aanza ziara mkoa wa Kagera

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg


Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameanza ziara mkoa wa Kagera na Wilaya zake,katika ziara hiyo Waziri Mkuu amembatana na Waziri wa Kilimo,Uvuvi na Mifugo ndugu Mwigulu Nchemba.

Katika ziara hiyo Waziri mkuu ameadhimia kutatua kero za Uvuvi haramu katika ziwa Victoria,matumizi mabaya na uharibifu wa misitu katika mapori ya Karagwe na usimamizi wa ranchi za Taifa zilizo chini ya NARCO ambao unalalamikiwa sana katika Wilaya ya Misenyi.
Ziara ya Waziri Mkuu katika picha
 
Back
Top Bottom