Waziri Mkuu Majaliwa aagiza Tozo zisizo na msingi zifutwe

Waziri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi.

Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera.

Source: ITV habari
Tozo zipi? Kwani wakati zina pitishwa yeye hakuwepo kwenye baraza la mawaziri au bungeni?? Au alikuwa amelala??
 
Waziri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi.

Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera.

Source: ITV habari
Legacy ya kufanyia kazi za serikali kwenye media. Na watu wanaamini wanaweza kuona na kupima utendaji wa viongozi "kwa macho" kupitia kauli zao za mbwembwe zitolewazo kwenye redio, tv, na magazeti.

Tuamini kuwa agizo hilo pia limetolewa kikamilifu (detailed) kwa maandishi kwenda kwa wahusika kwa utekelezaji.
 
maagizo hewa
giphy (2).gif
 
Mi namshauri,ajiuzulu,haendani na kudemka,alikua anaendana na Magu.WM alikua akitaka kusuasua,Magu analiamsha hivyo mambo yalikua yanaenda kwelikweli,ila kwa mama,naona jamaa anapuuziwa sana kauli zake.
Ona sana katoa kauli haijulikani kamlenga nani,wala hajaainisha ni kodi zipi.Kweli Magu alikua hot sana,u-hot wake uliwafanya baadhi ya watendaji wawe active na siyo sasa.
 
Majaliwa apunguze uonevu kwa wataalam wa fani za uhandisi na usimamizi wa majengo, apunguze kutoa kauli za kudhalilisha watu hadharani bali afanye uchunguzi wa kisayansi, TECHNICAL AUDITTING etc, ili haki itendeke bila kauli zake kuwaelemea wahakiki!
 
Waziri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi.

Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera.

Source: ITV habari
Labda tozo za wakulima wahuko kagera wanapopeleka mazao mnadani lakini hizi ambazo ndo zinamfanya apate posho na masurufu ya safari hawezi hata kuzigusuia maana zaweza mfanya hangaya akatishe safari kurejea nchini
 
Majaliwa apunguze uonevu kwa wataalam wa fani za uhandisi na usimamizi wa majengo, apunguze kutoa kauli za kudhalilisha watu hadharani bali afanye uchunguzi wa kisayansi, TECHNICAL AUDITTING etc, ili haki itendeke bila kauli zake kuwaelemea wahakiki!
sikia ili jizi
 
1. Tozo ameleta nani CCM
2. Wanataka kuziondoa nani CCM
Tengeneza tatizo halafu litatua hili uonekane mnajali wananchi.
Waziache tu, wamezipitisha wenyewe zina shida gani?
Waziri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi.

Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera.

Source: ITV habari
 
Waziri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi.

Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera.

Source: ITV habari
Siasa tupu, tozo zisizo na msingi ni zipi? why asiwe specific kuwa Tozo 1...2...3,
mmetufanya mabwege miaka yote ya Uhuru stil bado inakuwa ivo, damn... inatosha sasa!!!
 
Aache fix, waongeze tozo nyingine halafu ajifanye zipunguzwe! Tozo haziondoki kwa porojo za jukwaani. Apeleke mswaada wa kisheria bungeni zifutwe. Wananchi wa Kagera ogopeni matapeli waliopaka pico kichwani.
ri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi.

Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera.

Source: ITV habari
 
Kama ipi kwa mfano wakati yeye alikuwepo bungeni Kama kiongozi wa serikali wakati tozo zinapitishwa. Asitake kukosana na Mwigulu
 
Back
Top Bottom