LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 8,721
- 13,959
Tozo zipi? Kwani wakati zina pitishwa yeye hakuwepo kwenye baraza la mawaziri au bungeni?? Au alikuwa amelala??Waziri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi.
Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera.
Source: ITV habari