Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,973
Kwahiyo Rais Suluhu kaona majaliwa anafaa??Ataendelea kama rais mpya ataona anamfaa
Kwahiyo Rais Suluhu kaona majaliwa anafaa??Ataendelea kama rais mpya ataona anamfaa
Kabisa bwashee!Katiba imeeleza hivyo??
Hata mimi nashangaa kwa kweli.
Afu wewe ni kama huna kazi zaidi ya kukaa lumumba na kuangalia tbc kumeza na kuandika habari za mataga humu jfWaziri mkuu mh Majaliwa ameshauri mabasi mabovu ya mwendokasi ni bora yauzwe kuliko kuyaacha yakioza pale yard
Waziri mkuu amesema hayo baada ya kushuhudia mabasi takriban 50 yakiwa yamelala kabisa kwa ubovu na yakizidi kuchakaa.
Chanzo: ITV habari
Ramadhan Kareem!
Hapo nimekuelewa mkuu. Mfano mzuri ni BRT za Dubai pamoja na Metro zao. Road Transport Association(RTA) ya serikali hiyo ina manage kwenye maofisi huko lakini ukiingia ground penye kazi, kila kitu kimewachiwa kampuni ya Serco Group Plc. Hao jamaa ndio operators wa mabasi, metro, kwenye airports pia wapo na ni kampuni kubwa sana inayo manage zaidi ya contracts 500 duniani, sehemu tofauti tofauti hadi za kijeshi.huu mradi wangepewa watu binafsi waendeshe kibiashara au wengeruhusu wenye daladala kununua share tuone kama kutakuwa na haya mambo, halafu magari hayo yalikuwa ni used, pili njia za bongo changamoto sana angalia maji jangwani pale!?
hivi mtu akinunua atayatumia wapi!?
Hilo ndilo swali la msingi.Yatapita njia gani?
Hivi Rais akifia madarakani waziri mkuu nilazima aendelee yule aliyekuwepo??
Mradi ulianza 2016Huu mradi unaendeshwa kipuuzi Sana, inaonekana hata service hawafanyia Hawa
Haiwezekani mradi umeanza 2018 na mabasi 140,
takribani Miaka 2 na nusu TU tangu uanzishwe.
Eti mabasi yamebaki 100 tu ndo yanayotembea, yaani mabasi 40 yako juu ya mawe.
Yaani tayari 1/3 ya mabasi yamekufa, ndani ya Miaka 2 na nusu tu.
Ina maana, wskiendelea kwa trend hii wanayokwenda nayo.
Miaka mitano ijayo kuanzia sasa, mradi utakua hauna Basi ata Moja.
KUNA SHIDA MAHALI
Teseka na hali yako manka!Afu wewe ni kama huna kazi zaidi ya kukaa lumumba na kuangalia tbc kumeza na kuandika habari za mataga humu jf
+1Serikali ya CCM kama biashara ya mabasi ya Mwendokasi mmeishindwa hivi biashara ya ndege mtaiweza kweli?
labda atakayenunua apewe access ya njia hiyoDuh!auziwe nani na akataye nunua atayatumia wapi?
Ova
Hii picha mwanzoni nlifikiri ni shamba limepangwa mapipa ya bluu ya kumwagilia kumbe ni basi la mwendokasi limejaa matope...Hii picha ni ya basi la mwendo kasi? View attachment 1758971