Waziri Mkuu kuwa makini, CHADEMA wanataka wakugombanishe na Makonda kuelekea Uchaguzi Mkuu waepuke na uwakemee na awapige mkwara

Tunajua Chadema ipo kwa hatua za mwisho kusambaratika na hatimaye kufa kabisa kuelekea October 2020

Chadema hii ipo kwenye uoga wa kukataliwa na Wananchi kwenye boksi la kura

Wanachokifanya kwa sasa wanatumia njia ya kuwagombanisha viongozi wetu

Kwa kuwa Makonda ameifuta Chadema dar es salam makamanda wamejawa na mihemuko wanajua ruzuku haitakuwepo tena Chadema
Wanataka wamtumie Waziri Mkuu kukugombanisha wewe na makonda usikubali waambie waache uhuni wa kisiasa

Na makonda ameshawajulia hawa makamanda anawakimbiza ile mbaya, naomba Uchaguzi Mkuu unaokuja makonda aendelee kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar ili ahitimishe maziko

Sisi Watanzania tuliowengi raha yetu ni kuona tunakuwa na chama cha upinzani chenye tija kwa Taifa lakini sio hawa wanaojiita makamanda

Tunakuomba pia makonda usiwalegezee kamba hawa makanjanja wa kisiasa, tunataka October 2020 Dar iwe ya kijani

Tunataka kuanzia posta hadi bagamoyo, posta hadi kibaha posta hadi mbagala rangi za Ccm zipepee Tumechoka kuona rangi za chama kingine

Tuipende Tanzania
Wacha bendera,ikiwezekana Vazi la Taifa iwe rangi za CCM Nyumba zote nchi zima zipakwe rangi ya CCM,ila Chadema haifi wala haipotei ipo kwenye mioyo ya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe tahira wa kiwango cha lami hivi mnadanganywa CDM imekufa?huwezi kuua chadema na hoja zenu za kijinga jinga chadema Ni mpango wa Mungu kuwakomboa watanzania majinga yote waache waendelee kutumika Kama makalai mtu fala hawezi kuwa CHADEMA ndio wanaohamia huko wanapewa ulaji wajinga wanabaki kula kwa macho tu.
Tunajua Chadema ipo kwa hatua za mwisho kusambaratika na hatimaye kufa kabisa kuelekea October 2020

Chadema hii ipo kwenye uoga wa kukataliwa na Wananchi kwenye boksi la kura

Wanachokifanya kwa sasa wanatumia njia ya kuwagombanisha viongozi wetu

Kwa kuwa Makonda ameifuta Chadema dar es salam makamanda wamejawa na mihemuko wanajua ruzuku haitakuwepo tena Chadema
Wanataka wamtumie Waziri Mkuu kukugombanisha wewe na makonda usikubali waambie waache uhuni wa kisiasa

Na makonda ameshawajulia hawa makamanda anawakimbiza ile mbaya, naomba Uchaguzi Mkuu unaokuja makonda aendelee kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar ili ahitimishe maziko

Sisi Watanzania tuliowengi raha yetu ni kuona tunakuwa na chama cha upinzani chenye tija kwa Taifa lakini sio hawa wanaojiita makamanda

Tunakuomba pia makonda usiwalegezee kamba hawa makanjanja wa kisiasa, tunataka October 2020 Dar iwe ya kijani

Tunataka kuanzia posta hadi bagamoyo, posta hadi kibaha posta hadi mbagala rangi za Ccm zipepee Tumechoka kuona rangi za chama kingine

Tuipende Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunajua Chadema ipo kwa hatua za mwisho kusambaratika na hatimaye kufa kabisa kuelekea October 2020

Chadema hii ipo kwenye uoga wa kukataliwa na Wananchi kwenye boksi la kura

Wanachokifanya kwa sasa wanatumia njia ya kuwagombanisha viongozi wetu

Kwa kuwa Makonda ameifuta Chadema dar es salam makamanda wamejawa na mihemuko wanajua ruzuku haitakuwepo tena Chadema
Wanataka wamtumie Waziri Mkuu kukugombanisha wewe na makonda usikubali waambie waache uhuni wa kisiasa

Na makonda ameshawajulia hawa makamanda anawakimbiza ile mbaya, naomba Uchaguzi Mkuu unaokuja makonda aendelee kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar ili ahitimishe maziko

Sisi Watanzania tuliowengi raha yetu ni kuona tunakuwa na chama cha upinzani chenye tija kwa Taifa lakini sio hawa wanaojiita makamanda

Tunakuomba pia makonda usiwalegezee kamba hawa makanjanja wa kisiasa, tunataka October 2020 Dar iwe ya kijani

Tunataka kuanzia posta hadi bagamoyo, posta hadi kibaha posta hadi mbagala rangi za Ccm zipepee Tumechoka kuona rangi za chama kingine

Tuipende Tanzania
Hujatuambia anawagombanisha kwa namna gani..ingekuwa vema ungeanzia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadomo kilinunuliwa na Lowasa hicho Sio Chama ni sacos
Kwanini wajinga wa ccm mnakiogopa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema)?
Kumbukeni jambo hili,tangu Yohana alipoingia madarakani amekuwa ni mtu wa kununua madiwani na wabunge wa Chadema usiku na mchana je,ulishawahi kuona au kusikia Chadema wamenunua takataka yeyote kutoka ccm?

Uache ujinga,kama unadhani ccm wamekifuta chama cha demokrasia na maendeleo basi unajidanganya!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom