Waziri Mkuu kutoongelea zao la kahawa Karagwe ni makusudi au bahati mbaya?

Badilikeni wanakaragwe. Dunia ya leo nani anakunywa kahawa ambayo ina chembechembe za cocaine??

Vinywaji mbadala vipo kibao. Kahawa haitakuja kuwa na soko milele.
Maswala ya cocaine yanatoka wapi? Mbona haijawahi kurudishwa kwamba imekosa soko kwa sababu ya cocaine. Hebu nenda supermarket uone bei yake.
Kahawa ya Karagwe Ina soko zuri. Kuna organic coffee ambayo soko lake liko juu. Achana na hearsay!
 
Back
Top Bottom