Waziri mkuu kuondoka ni hasara kwa Taifa

CDM

Member
Jan 19, 2012
73
25
Kumekuwepo na shinikizo la kumuondoa Mzigo Pinda u PM. Hakika ningependa aondoke, lakini nilifikiria gharama za kumhudumia yeye na ajaye mpaka waondoke duniani . Naona bora amalize tu. kama Lowasa hakupaswa kupata benefit zozote, lakini bado anatubebesha nzigo wavuja jasho . Tuhakikishe kwanza waziri ( mkuu) akiondolewa ashitakiwe na asipate chochote . nawasilisha
 
Katiba mpya inatuhusu sana!
 
Hizi benefits wanazopata wastaafu wote zimekuwa ni mzigo mkubwa kwa walipa kodi kuna kila sababu ya kuziangalia upya.
 
Kwa hiyo suluhisho ni kurudishwa Lowasa na gharama zitabaki vile vile!

Mawaziri wakuu wafuatao walirudia.
1. Moringe
2. Msuya
3. Salim
4. Kawawa

Wawili wa Mwisho sikumbuki kwa uhakika
 
Hata akijiuzuru bado walipa kodi wataendelea kukamuliwa ili aweze kulipya benefit kama PM mstaafu.
Katiba ingeliangalia na hili!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom