Mwanasiasa wa Tz akikuambia 'usiku mwema' usimuamini toka nje kwanza ukaangalie kama kuna giza kweli ndio urudi ndani kujibu salam yake.
 
Ni tuhuma nzito hizi, sio ndio kaka Pascal Mayalla ? . Unaweza kutoa ushahidi ikihitajika?
Kiukweli humu jf, kuna wenzetu wengi tuu humu sio wazima kabisa!, ni vichaa!. Ukiwaaminisha anything, hata vitu vya ajabu ajabu, wanaamini!. Hawa ndio mazuzu tuliokuwa tukiyazungumza, kama mazuzu wanaoamini kuna kundi la The Sukuma Gang.
P
 
Hakuna mtu nilikuwa namuamini kama Kassim kumbe na yeye ni ZUZU tu, kwa sasa maeneo mengi ya nchi kuwa na umeme ni anasa halafu anasema tuna umeme wa kutosha

Tangu Kaphone atangaze hadharani 'jiwe'liko fit wakati ni kinyume sina hamu wala simuamini hata kidogo.
 
Kiukweli humu jf, kuna wenzetu wengi tuu humu sio wazima kabisa!, ni vichaa!. Ukiwaaminisha anything, hata vitu vya ajabu ajabu, wanaamini!. Hawa ndio mazuzu tuliokuwa tukiyazungumza, kama mazuzu wanaoamini kuna kundi la The Sukuma Gang.
P
Upo sahihi kabisa..Ndugu Njaa
 
Back
Top Bottom