Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Binafsi, ANAYESEMA RAIS anaumwa na ANAYESEMA RAIS ni mzima, Kwa kipindi hiking nankipindi chochote, KAMA HATUMWONI HADHARANI, HAWANA TOFAUTI... WOTE WANAZUSHA TU...
Kama Rais ni mzima, kwa nini inakuwa mgogoro mkubwa sana kwa watu wa serikali kumuonesha huyu hapa Magufuli mzima wamalize uvumi kwamba ni mgonjwa?

Wanasubiri nini kufanya hivyo? Wanasubiri msaada wa wahisani?
 
Rais John Joseph Pombe Magufuli piga kazi kuwaletea na kuwajengea misingi imara ya kimaendeleo Watanzania nilichogundua Watanzania wanampenda sana Rais wao kiasi cha kutokumuona wala kumsikia ndani ya wiki kila mmoja amekuwa hana raha kwa kuwa wameshazoea kumsikia akiwapa maagizo wateule wake na kutatua kero za wananchi.

Kwa dalili hizi ni kipimo cha mapenzi kilichopitiliza najua wenye account fake wakiwa peke yao au kwenye vikao vyao wanazungumzia muziki mnene wa mtetezi wa wanyonge.

Tuendelee kumuombea kwa Mungu raisi wetu azidi kuwa na afya njema na amuepushe na wenye husuda na roho mbaya ili aweze kutekeleza yale yote aliyo ahidi kipindi cha kampeni kupitia ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Raisi wetu wananchi wamekumiss na wanakupenda sana muda utakaonekana ama hakika watashangilia kama kumefungwa goli uwanja wa taifa!

Hapa kazi tu, tusisahau kufuata muongozo wa wataalamu wa afya Covid19 ipo!
 
Hivi huyo mama kazi yake ni kutuletea speculation, unspecified reports. Huyo mama na Lissu wanapenda speculation na unspecified reports kuwa viongoz wetu wanaumwa. Hayo ni maisha mabovu. Speculation zinaweza kusababisha ukatengana na mke. Sasa wamepata report kamili kutoka kwa mkuu, watulie.
Sky Eclat naiona presha yako inavyopanda na kushuka. Pole sana kwa kumwombea Rais wetu mabaya, sawa!??? Tumekusamehe bure!!!
Uyo
 
Nami sielewi. Alafu ukizingatia hatujawahi kuwa na na tetesi za hivi. Mama wa Rais wetu aliwahi lazwa muhimbili kama sijakosea, tuliambiwa. Why now? Mara Waziri wa 6sheri aseme hiki, mara Balozi sijui wa wapi aseme hiki, na watu wa mitandaoni mseme hiki. Tusiwe huru kwa kumuona.
 
Back
Top Bottom