Kwako shehe ubwabwa.
Je muislamu anaweza kufunga ndoa na mwanamke asiye muislamu
Huko Kusini Ruangwa hiyo inaruhusiwa; ndio anakotoka mstaafu Anna Abdllah pia.
Kwako shehe ubwabwa.
Je muislamu anaweza kufunga ndoa na mwanamke asiye muislamu
Watu mna data utadhani Google!!Huko Kusini Ruangwa hiyo inaruhusiwa; ndio anakotoka mstaafu Anna Abdllah pia.
Wanabodi natumai mko salama!!
Leo waziri Mkuu kastaajabisha umma kwa kusema leo tar 10/1/2022 ni siku ya 40 ya Mwaka mpya huku akiwa serious kabisa!!
Je,, hii siku ya arobaini ya Mwaka Mpya kwa mujibu wa PM inatoka kwenye calendar gani??
Je ,, ni stress na fear juu ya kutumbuliwa kwenye tittle aliyonayo au mambo ya kibinadamu tu au pengine Kuna calendar ya Siri tusiyoijua??
Naomba kuwakilisha!!
Basi alitumia Mwaka wa Kanisa unaoanza Advent 1 (Jumapili ya kwanza katika Adventi au Majalio)? Hakika si mwaka wa Kiislamu, maana hapo tuko kwenye mwezi wa Jumada ya Pili ambayo ni mwezi wa sita.Wanabodi natumai mko salama!!
Leo waziri Mkuu kastaajabisha umma kwa kusema leo tar 10/1/2022 ni siku ya 40 ya Mwaka mpya huku akiwa serious kabisa!!
Je,, hii siku ya arobaini ya Mwaka Mpya kwa mujibu wa PM inatoka kwenye calendar gani??
Je ,, ni stress na fear juu ya kutumbuliwa kwenye tittle aliyonayo au mambo ya kibinadamu tu au pengine Kuna calendar ya Siri tusiyoijua??
Naomba kuwakilisha!!
Mtume ni mtu yeyote tu anayetumika. Watume wa Mungu wanatumwa na Mungu. Mbunge au Rais anatumwa na wananchi. Ni mtume wa WatanzaniaUmenikumbusha
Ustaadh fylani mpenda ubwabwa na laini za mtandao wa tiGO aliyesema mwendakuzimu Ni zaidi ya mtume Sasa sijui alimaanisha mtume yupi.
Haujui kuwa dini zinatofautiana kalenda!Ipo kabisa kidini??
Siyo kweli kabisaKulingana na dini yake leo ni siku ya 40 tangu mwaka mpya uanze.
August 9, 2021 sawa na mwezi 1 Muharram.Mwaka mpya wa Kiislamu uliadhimishwa lini?
HahahahahahaAnatumia kalenda ya kiislamu