Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusema leo siku ya 40 ya mwaka mpya anamaanisha nini?

Huyu jamaa hajawahi kusema ukweli,kwa hiyo usitegemee aseme ukweli😁😁😁
cHi.jpg
 
Wanabodi natumai mko salama!!

Leo waziri Mkuu kastaajabisha umma kwa kusema leo tar 10/1/2022 ni siku ya 40 ya Mwaka mpya huku akiwa serious kabisa!!

Je,, hii siku ya arobaini ya Mwaka Mpya kwa mujibu wa PM inatoka kwenye calendar gani??

Je ,, ni stress na fear juu ya kutumbuliwa kwenye tittle aliyonayo au mambo ya kibinadamu tu au pengine Kuna calendar ya Siri tusiyoijua??

Naomba kuwakilisha!!


Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom