TOHATO
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,170
- 3,775
Sio dharau ila naona wanatuonesha hayo mandege hayana kazi kifupi tulikurupuka kununua.. naona hata nae mama katumia hizo hizo japo ndege ya raisi ipo.Yaani anaenda kwenye shughuli za chama anatumia ndege ya serikali? hii ni dharau kubwa sn kwa watanzania.