Uchaguzi 2020 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apita bila kupingwa jimbo la Ruangwa. Akabidhiwa barua na Msimamizi wa Uchaguzi

Kwa vyovyote vile watu wote wa Jimbo la waziri mkuu humuheshimu na kumtakia mema katika uongozi wake.
Upinzani unakuwepo kisiasa na kikatiba lakini haumpingi.
 
Mfumo wa dunia unataka vyama vingi lakini Africa tumeupokea mfumo wa vyama vingi kwa shingo upande
haiwezekani kabisa wapinzani pekee yao ndio wanakoseaga kujaza fomu lakini ccm wazee wa ndio wao ndio akili kubwa awakoseagi kujaza fomu hata mgombea mmoja kweli
Ina maana ccm hakuna mburura hata mmoja ahaaa ..
 
Back
Top Bottom