Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,015
- 54,294
Iweee WashobokelaTenda ya ujenzi ilitangazwa au ilikuwa force account
Iweee WashobokelaTenda ya ujenzi ilitangazwa au ilikuwa force account
Kayanga Karagwe Oops!!! Nchi Kubwa HiiSwali hilo nalo ni vyema ukamuuliza Afisa Manunuzi ndio maana amesimamishwa kazi awajibu wadau kama wewe na wengine!
Mnawajua vizuri hawa maafisa ununuzi jamani au mwaongea tuuu!??Uko sahihi sana mkuu, ila tatizo ni kuwa watu wanaangalia ni nani alienunua (Alie-place Orde), na sio ni nani alie-request. Nina uhakika kwa utaratibu wa serikali, lazima hapo wilayani kuna "Procurement committee", ambayo ilihusika. Kuna pia Engineer alietoa specifications; kuna pia "Receiceving committee" ambo waiopokea na ku-confirm kuwa hivyo vigae vinaendana na "request" na "Purchase Order". Ila sasa "likipinda" kila mtu anatafuta jinsi ya kujitoa na kumsukumia mwenzake.