Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushitukiza bandarini

Watu wanajipigia tu mabilioni hapo TRA na hata huko TPA.

na ukumbuke wenzetu wa chadema wanasubiri hela zimwagike mtaani waanze kuokota.

Rais Samia asicheke na nyani kabisa, hivi siku 5 kuna hela kiasi gani zimepotea hapo?

Tuko hapa makusanyo yanaweza kurudi bilion 4
 
Nmewah enda pale 2018 tulikaa folen wiki pale Malawi jargo na Zambia cargo ,,had ealinzi walipiga hela Yan ili uingize gar ndan ulitakiw kulipa 20000 na hko ndan kushusha ni pesa tulikaa wiki mbili kushusha na kupakia
Unapata faida gani kutetea ujinga?
 
Watu wanajipigia tu mabilioni hapo TRA na hata huko TPA.

na ukumbuke wenzetu wa chadema wanasubiri hela zimwagike mtaani waanze kuokota.

Rais Samia asicheke na nyani kabisa, hivi siku 5 kuna hela kiasi gani zimepotea hapo?

Tuko hapa makusanyo yanaweza kurudi bilion 4
Na hawataongea na kuambia makusanyo ndani na miez 6 watasema tulikuwa tuna omboleza msiba na tulikuwa ziaran kuimarisha ujirani mwema
 
Hahahaaaa....... Bwashee bilioni 4?!
 
Unapata faida gani kutetea ujinga?
Sitetei, pamoja na kuwa na typing errors nyingi nmejarbu kuonesha jinsi gan rushwa bandarin haiwez kuisha uskute hta hyo folen ni mchezo watu wanapga hela, Kama inamaana yako fungua kifungo Cha what jipige konde af sema "I'm a fool"
 
Hahahaaaa....... Bwashee bilioni 4?!
Hapo kariakoo hakuna chochote kinachofanyika kila mtu risiti katupa kapuni maana rais alishasema kodi za dhuruma hataki.

Bandari malori yanakaa siku 5 hakufanyiki kazi...

TRA mfumo ni mbovu...
Hayo makusanyo yanatokea wapi sasa?
 
Na hawataongea na kuambia makusanyo ndani na miez 6 watasema tulikuwa tuna omboleza msiba na tulikuwa ziaran kuimarisha ujirani mwema
Samia anafikiri watz wanapenda sana kulipa kodi?

Kama mtu anafurahia kuondoka na sh 500 ya konda kisa hajamdai ije kuwa kulipa kodi?

Subiri miezi 6 hii utajionea
 
Pale Bandarini kuna mfumo mpya ulikua unawekwa kwa kuzuia wizi lakini Magufuli alipofariki tu wakaanza kuuhujumu ndio huo unaohujumiwa ili uonekane haufai uondolewe watu waendelee kupiga pesa.

Waziri mkuu hakuna kitu atafanya hapo. Kitakachotokea ni mapendekezo ya kupiga chini huo mfumo halafu walete wa kwao wa kupiga na kukwepa kulipa kodi.

Hii nchi ina safari ndefu sana.
 
Majaliwa kwenye swala la kodi asimamie mama anaonekana mlegevu sana kwenye kudai kodi analeta mambo ya dini kwenye kodi

Wakati Qur'an na biblia zimesema kuhusu ushuru

Mazee bila ushuru hatutoboi.
 
Watu wanajipigia tu mabilioni hapo TRA na hata huko TPA.

na ukumbuke wenzetu wa chadema wanasubiri hela zimwagike mtaani waanze kuokota.

Rais Samia asicheke na nyani kabisa, hivi siku 5 kuna hela kiasi gani zimepotea hapo?

Tuko hapa makusanyo yanaweza kurudi bilion 4

Wewe hutaki kuokota hizo hela biashara ya kuuza chiu imekuvutia mazima?
 
Majaliwa kwenye swala la kodi asimamie mama anaonekana mlegevu sana kwenye kudai kodi analeta mambo ya dini kwenye kodi

Wakati Qur'an na biblia zimesema kuhusu ushuru

Mazee bila ushuru hatutoboi.
Atakaposhindwa kulipa mishahara ndio atajua kama kodi kwa tz inalipwa kwa hiari au kutumia nguvu
 
Wewe hutaki kuokota hizo hela biashara ya kuuza chiu imekuvutia mazima?
Dada nilishakuonya tabia yako hii ya kutongoza wanaume indirect uache

Nlishakwambia Melo karahisisha kila kitu na jukwaa lake. Kama una hamu na wanaume unaenda tu kwenye jukwaa husika unaanzisha uzi wadau watakujia tu.

Sasa ukija hapa na kujibaraguza hivi hutapata mwanaume.
 
Kwanini watumishi wasiowaadilifu wangeshughulikiwa kikamilifu, yaani huwa nashangaa sana hawa TISS wanafanya kazi gani, kuna mambo muhimu Kama nchi yanatakiwa kufanywa kwa maslahi ya nchi lakini imekuwa shida,kuandaa vijana wenye nguvu na kujituma huku maslahi yakiwa ya kutosha, nafikiri Kama nchi tungepiga hatua kubwa sana.Tunaangamia kwa kukosa maarifa
 
Back
Top Bottom