Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa, asema Tanzania inasubiri mpambano wa mwakinyo vs kiduku

Mimi naadhani Kiduku anaweza kumpiga Mwakinyo. Lakini suala la mpambano kati ya kiduku na Mwakinyo, hata mimi siliafiki.

Mwakinyo ni bondia namba moja kwa uzito wake Africa. Hajafika hapo kirahisi. Amepambana sana kufikia hiyo rank. He's simply holding on to his professional discipline.

Kiduku apambane na yeye apande ranks, ndio aombe pambano na Mwakinyo. Na liwe pambano la kugombea mkanda, sio kugombea magari ya akina babu Tale.

Lakini pia, watanzania ni watu wa ajabu. Kwani ni lazima tumpate mbabe kati ya kiduku na Mwakinyo? Hatuwezi kuwasupport ili tupate mabondia wawili wenye ranks za juu duniani kwa uzito tofauti?
 
Jamaa wenu wa Tanga Rank yake ni kubwa!!..He is doing a good business lakini ukweli ni kwamba afanye vyote hawezi kupigana na kiduku!!..Anajua akipoteza pambano ndio mwisho wake!!..Hana uwezo wa kumpiga kiduku!!.. Biashara yake Itakua imefika ukingoni!!..Huoni ajabu watu wanaweka fedha lakini yeye hataki!!
Yes, inawezekana uko sahihi, yupo kwa ajili hya biashara na sio kumsaka mbabe, ngumi nzuri unastaafu bado mzima kama mayweather sio unatetemeka kama legend Muhammad Ali au mkongwe matumla.
 
Mwakinyo na Twaha kiduku hawataweza kupigana kwa sababu Twaha anapigania mkanda tofauti kabisa na Mwakinyo yaani uzito sio sawa.
Mfano mfano uzito anaopigana Anthony Joshua si sawa na anaopigana akina Man Pacquiao.
Duniani kuna mikanda 17 yenye mizani tofauti.
 
Mbona Simba wanacheza kimataifa na rank Yao ipo juu zaidi lakini wanacheza pia kwenye ligi kuu
 
Mimi naadhani Kiduku anaweza kumpiga Mwakinyo. Lakini suala la mpambano kati ya kiduku na Mwakinyo, hata mimi siliafiki.

Mwakinyo ni bondia namba moja kwa uzito wake Africa. Hajafika hapo kirahisi. Amepambana sana kufikia hiyo rank. He's simply holding on to his professional discipline.

Kiduku apambane na yeye apande ranks, ndio aombe pambano na Mwakinyo. Na liwe pambano la kugombea mkanda, sio kugombea magari ya akina babu Tale.

Lakini pia, watanzania ni watu wa ajabu. Kwani ni lazima tumpate mbabe kati ya kiduku na Mwakinyo? Hatuwezi kuwasupport ili tupate mabondia wawili wenye ranks za juu duniani kwa uzito tofauti?
Umeongea kitu kikubwa sana , ndio hao hao akianza kuomba omba watakuja kusema tena kwanini alipigana na kupoteza sifa zake.
 
Mimi naadhani Kiduku anaweza kumpiga Mwakinyo. Lakini suala la mpambano kati ya kiduku na Mwakinyo, hata mimi siliafiki.

Mwakinyo ni bondia namba moja kwa uzito wake Africa. Hajafika hapo kirahisi. Amepambana sana kufikia hiyo rank. He's simply holding on to his professional discipline.

Kiduku apambane na yeye apande ranks, ndio aombe pambano na Mwakinyo. Na liwe pambano la kugombea mkanda, sio kugombea magari ya akina babu Tale.

Lakini pia, watanzania ni watu wa ajabu. Kwani ni lazima tumpate mbabe kati ya kiduku na Mwakinyo? Hatuwezi kuwasupport ili tupate mabondia wawili wenye ranks za juu duniani kwa uzito tofauti?
Sasa kiduku ana rank gani mkuu huko dunianii?
 
Jamaa wenu wa Tanga Rank yake ni kubwa!!..He is doing a good business lakini ukweli ni kwamba afanye vyote hawezi kupigana na kiduku!!.

Anajua akipoteza pambano ndio mwisho wake!!..Hana uwezo wa kumpiga kiduku!!.. Biashara yake Itakua imefika ukingoni!!..Huoni ajabu watu wanaweka fedha lakini yeye hataki!!
Hamna lolote. Hoja ya kibwege sana hii. Mabondia wote hawa ni wazuri. Na wote tunapaswa kuwaombea watoboe katika anga za kimataifa. Huu ushabiki wa type yako ni wa kijima kama si kikuda. Unapaswa kujua ubondia unahusisha kupiga, kupigwa ama suluhu. Bondia yoyote anapitia aina hizo za matokeo. Hata Tyson alichezea sana na bado alitoboa. So, binafsi siwezi kuwa na roho ya nyoka kiasi hiki. Ninaamini wakizichapa(mwakinyo na Kiduku) yeyote anaweza shinda. Na hamna uhusiano wowote wa kushindwa na kutoboa!

Kwanza mimi ninaona mnamtia ujinga Kiduku kumharibu. Yani awe anawaza Mwakinyo tuuu, wakati ana kazi kubwa zaidi ili kung'aa kimataifa. Kama mimi KIduku ningewaambieni, acheni uboya!

Tuwaombee vijana wafanye vizuri zaidi na zaidi
 
Kibwege,kijima,kikuda Yani wewe masikini nchi yako masikini alafu unaleta mfano wa Tyson!!..Eti ukipigwa ni Sawa utatoboa!!..Nasema na nitaendelea kusema tuache kuandika kama hatujui tunakula nini!!!....
 
Mwakinyo na Twaha kiduku hawataweza kupigana kwa sababu Twaha anapigania mkanda tofauti kabisa na Mwakinyo yaani uzito sio sawa.
Mfano mfano uzito anaopigana Anthony Joshua si sawa na anaopigana akina Man Pacquiao.
Duniani kuna mikanda 17 yenye mizani tofauti.
Kwa sasa wapo uzito tofauti, ila kwenye ndondi kuna kuongeza au kupunguza uzito ili kuwa katika daraja moja.
 
Kumsaidia kiduku ni kumtafutia mapambano mengi ya nje apandishe nyota zake.

Zikifika 4 kama za Mwakinyo hapo sasa tutataka pambano lao.
Sawa kabisa! Ndiyo ninashangaa baadhi yetu kukomaa tu na Mwakinyo vs.Kiduku. Mimi ninapenda wazinyuke,lakini kwa mtazamo wa kimichezo. Baadhi yetu ni kama wanaona wivu hivi, wanaona kama Mwakinyo hastahili kuwepo hapo alipo. Kwanini tusiwapiganie wote wafanikiwe?
 
Kibwege,kijima,kikuda Yani wewe masikini nchi yako masikini alafu unaleta mfano wa Tyson!!..Eti ukipigwa ni Sawa utatoboa!!..Nasema na nitaendelea kusema tuache kuandika kama hatujui tunakula nini!!!....
Huna lolote ujualo. Hapa tunajadili mambo serious, tusimtaje TYSON kwanini? Kwani hii mikanda wanayoipigania hawa mabondia wetu inatoka kwako? Kama kumtaja Tyson kwako unaona nimemaanisha Kiduku na Mwakinyo ndo kina Tyson, basi ninatia shaka na uwezo wako wa kufikiri. Wewe ni victim wa Zika.

Wivu haukufikishi popote, utajikuta kila siku unakuja kulialia mtandaoni kwa mafanikio ya wengine.
 
Waziri mkuu kawa promoter siku hizi? badala ya kuongelea mambo ya msingi tunayopitia vilio vya kodi anaenda kuongelea Kiduku na anafanikiwa kutopoteza maana tunaanza kujadili kiduku badala ya mambo ya msingi nchi hii tunapitia na watu wanapiga makofi tu.
 
Huna lolote ujualo. Hapa tunajadili mambo serious, tusimtaje TYSON kwanini? Kwani hii mikanda wanayoipigania hawa mabondia wetu inatoka kwako? Kama kumtaja Tyson kwako unaona nimemaanisha Kiduku na Mwakinyo ndo kina Tyson, basi ninatia shaka na uwezo wako wa kufikiri. Wewe ni victim wa Zika.

Wivu haukufikishi popote, utajikuta kila siku unakuja kulialia mtandaoni kwa mafanikio ya wengine.
Wivu uache kuwa nao wewe,ambae hata jina unalotumia sio lako!!.....Bora kuwa Victim wa Zika with proper identification!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom