Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 4,858
- 13,016
Wahamishiwe kwenye mapori ya akiba.
Wakikataa kuhama serikali wala isitumie nguvu, iwaache waendelee kuishi hapohapo ila kwa sharti moja,
Serikali ihakikishe kila mfugaji analipia ushuru wa kulisha mifugo yao ndani ya hifadhi ya taifa. Gharama yake kwa mwaka inatakiwa iwe 100,000/- kwa kila ng'ombe mmoja na 50,000/- kwa kila ndama au mbuzi mmoja.
Kwa ushuru huo automatically wafugaji wataomba waondoke wenyewe kwenye hifadhi bila ya serikali kutumia nguvu.