Waziri mkuu Japan ajiuzulu, ni wa 6 ktk miaka 5; Viongozi wetu wajifunze toka kwake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri mkuu Japan ajiuzulu, ni wa 6 ktk miaka 5; Viongozi wetu wajifunze toka kwake

Discussion in 'International Forum' started by MJIMPYA, Aug 26, 2011.

 1. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Naoto Kan, the embattled Japanese prime minister, has announced his resignation, paving the way for the nation's sixth premier in five years to steer a recovery from the March disasters.

  Kan informed senior party officials of his decision to step down as ruling party leader on Friday, Japanese media reported, before addressing the media in a live televised news conference.

  "I resign as the (party) president effective today," Kan told party officials. "I will leave the post of prime minister once the new leader is decided."
  Al Jazeera's Steve Chao, reporting from Tokyo, said: "The sad part in all of this is that Naoto Kan only lasted 14 months at the top, and at the time when he was inaugurated in as prime minister there were hopes that he could be the one who could overcome this revolving door at the top."

  But Kan's resignation was expected almost six months since the devastating March 11 quake, tsunami and ensuing nuclear disaster sorely tested his leadership, and prompted accusations he mishandled the crisis.

  After surviving a no-confidence vote in June, Kan said he would quit on the condition that three key bills were passed - a second budget, a budget financing bill, and legislation promoting the use of renewable energy.

  The final two bills were passed on Friday.

  Kan is expected to officially step down from his party and government posts when the ruling Democratic Party of Japan (DPJ) elects a new party president, which Yukio Edano, chief cabinet secretary, said would take place on Monday.

  Parliament would then vote the leader in as premier on Tuesday next week.

  'Leadership is fickle'

  Up to nine candidates could end up jockeying to succeed Kan, including the favourite, Seiji Maehara, the former foreign minister.
  Yoshihiko Noda, the finance minister, may also file for candidacy when campaigning begins on Saturday.

  Whoever wins faces the unenviable tasks of overseeing Japan's biggest post-war reconstruction, the resolution of the world's worst nuclear crisis since Chernobyl 25 years ago and shielding the economy from a soaring yen.

  They must also unite a divided parliament and win market confidence that Japan can overcome a legislative quagmire to address the world's biggest debt.

  "The latest power change will yet again give the world the impression that Japan's leadership is fickle," said Shinichi Nishikawa, professor of
  politics at Meiji University in Tokyo.

  These are leaders who have feelings of their people and sense of responsibility.
   
 2. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Waziri mkuu wa Japan ajiuzulu kwa kushindwa kukabiliana na matetemeko ya ardhi na Tsunami, hii ikiwa ni mwaka mmoja tu tangu aingie madarakani. Matatizo yote haya kimsingi yapo nje ya uwezo wa binadamu kuzia ila kajiuzulu.

  Tujiulize kuna shida ngapi na matatizo mangapi yanayoikabilii Tanzania na viongozi wetu hawataki kujiuzulu? Mara ngapi wametoa sababu eti ni nje ya uwezo wao maji kukauka mtera na hivyo adha ya umeme? Tuchukue hatua ili viongzoi wetu wawajibike kama kule Japan ambako wanapisha wengine wajaribu bila kushinikizwa.

  1. Maisha yanakuwa magumu kila siku, kila siku watu wanasema afadhali ya jana na bado watu tupo kimya, viongozi hawawajibiki wanaishia kutoa majibu mepesi na kutudhihaki

  2. Umeme bado umekuwa janga la kitaifa miaka 50 sasa toka uhuru

  3. Tofauti ya kipato inakuwa kubwa kila siku yaani ongezeko la maskini na tajiri ni kubwa kuliko tudhaniavyo

  4. miundombinu bado ni mibaya sana hasa vijijini ambako kimsingi ndio wanazalisha kiasi kikubwa kuliko sisi wa mijini

  Naomba nitaje hivi vichache ila viongozi wetu wawajibike na wachukeu hatua dhabiti la sivyo wapishe wengine kama alivyo fanya waziri mkuu wa Japan
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Sio sahihi kufananisha viongozi wetu na viongozi wa Nchi yeyote Duniani.
   
 4. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Dawa yote ni kuwasamehe wakikubali kutuwekea katiba mpya. Ila tukiendelea kuwatisha, hawatadhubutu kuiweka hiyo katiba mpya kwani wanajua watanyea debe.
   
 5. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna anayekubali kujiuzulu TZ kwa utashi wake mwenyewe. Labda maji yamfike shingoni kama ilivyokuwa kwa mzee wa Rich Monduli.
   
 6. MANI

  MANI Platinum Member

  #6
  Aug 27, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,872
  Trophy Points: 280

  Mkuu kwani sisi tuko sayari ipi vile?
   
 7. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kama hawawezi kujiuzulu tuweze kuwafanya wajiuzulu kwa nguvu ya umma, tunaweza kuwa tuna anzisha vuguvugu la kisiasa kila pale in apohitajika
   
 8. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Japan colonized Korea. Kwa hiyo hao waliwahi kuwa wakoloni.
   
Loading...