Waziri mkuu, huu si wakati wa maneno maneno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri mkuu, huu si wakati wa maneno maneno

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nanyaro Ephata, Mar 15, 2011.

 1. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Nilitarajia ziara ya siku tisa ya pm wetu izae matunda,lakini hali imebaki vilevile,
  1.Ranch ya misenyi,yenye mgogoro mkubwa Pm ameshindwa au hajataka kuumaliza
  2.Umaskini wa wananch naye eti anashangazwa na hali ya umaskini,badala ya kueleza mkakati wa serikali kuuondoa,aibu kubwa,(hapa nikakumbuka JK alipata kusema hata yeye hajui nini chanzo cha umaskini,aibu)
  3.Sukari bado ameacha ikiuzwa kwa 2,000kg bila kutoa suluhisho,naye analalamika
  najiuliza Je Waziri mkuu naye ni mchochezi?aliyoyalalamikia ndio Chadema inayodai na kutoa nini cha kufanya kuondokana na umasikini,na gharama ghali za maisha.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,901
  Trophy Points: 280
  maneno mengi tu , leo JK anazunguka huko na kule but hakuna kitakachobadilika , bandarini kaenda kufanya nini? Kuangalia makontena ya magari wakati hata barabara zenyewe hatuna?
   
 3. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Ndio maana tunasema kama hawawezi kutatua matatizo ya wananch wapishe
   
 4. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Hawa wote ni wasanii tu!
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nilikwisha poteza confidence na huyu Pinda muda mrefu...................................
   
 6. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Kwa kuwa ziara yake hii imetumia kodi za walala hoi wa nchi hii,ni wajibu wetu kuhoji nini amefanikisha..
   
 7. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Amakweli sikio lakufa halisikii dawa, ni hivi majuzi tu tumemsikia waziri mkuu akizungumza akiwa kanda ya ziwa na kumtaka Mh Magufuli aache kutekeleza bomoa bomoa ya nyumba zilizojengwa kwenye hifadhi ya barabara. Kwakweli nilishangaa sana kwani Mh Magufuli alikuwa anatekeleza sheria zilizowekwa na sisi wenyewe, Mh Pinda yeye akaja kisiasa na kusema zoezi hilo lisimame sasa cha kujiuliza litasimama mpaka lini? Je ni kwa muda na kwa faida ya nani? Hivi waziri mkuu wetu anafaa kweli kuongoza shughuli za serikali bungeni au apewe kuongoza shughuli za kisiasa bungeni. Kimsingi hakuna aliye juu ya sheria, sio rais wa nchi wala mawaziri na kama wako juu ya sheria basi hakuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye sheria ya manunuzi ili kuiwezesha serikali kununua mitambo ya Dowans badala yake wangenunua bila hata kubadili sheria, mimi nasema Pinda umemkosea waziri wako na umewakosea watanzania na pia umebadili mwelekeo wa utendaji si wizara ya Magufuli tu bali zote.
   
 8. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wao kazi kulalamika Halmashauri zinatumia fedha vibaya!! Hivi pinda anaweza kutueleza productivity ya matumizi ya fedha alizotumia kwenye huo utalii wake wa siku tisa????
   
 9. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2011
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mkuu without taking any sides, hili suala limeleta mgogoro mkubwa sana na kama umefuatilia vizuri TANROADS wamelalamika kwamba Dr. Magufuli anajitahidi kutafuta umaarufu wa kisiasa ilhali uhalisia wa kiutendaji ktk wizara yake unazidi kudorora. Its high time now na yeye pia arudi kwenye basics na afuate utawala wa sheria.

  Nyumba hazibomolewi tu kwa sababu waziri katoa amri, kuna watu wana madai ya msingi na pia kuna kesi zipo mahakamani mpaka sasa hazijapata ufumbuzi. Usipotezwe sana na media, hata Magufuli mwenyewe alijua hili linakuja.
   
 10. czar

  czar JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani kwenye kubomoa Dr Magufuli alivunja sheria? Kama ndiyo apelekwe mahakamani basi, mbona watu wanasema pembeni tu na mahakama zipo? Hii ndo sanaa sasa siasa kila mahali tunabaki wachovu kila siku. Usikute wabunge na watu wenye uwezo wamejenga na wanatafuta namna ya kuzuia.
   
 11. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #11
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  In order to overcome them we must dare to question,and dare and dare,until is understood
   
 12. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  CCM wameoza na kama kitu kimeoza hakitakiwi kuwekwa kokote kule bali jalalani, huko ndiko wanakotakiwa.
   
Loading...