Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,398
- 2,990
- Thread starter
- #101
Sasa ulipoleta andiko specifically juu ubabe wangu binafsi kwani tulikuwa tumeshamalizana na ubabe unaohusu vyama vyetu ambao ndiyo tulianza nao?
Tumalizane kwanza na ubabe juu ya vyama vyetu kama tulivyoanza navyo then twende level ya individuals.Siyo busara kurukaruka!
Mimi sina chama. Kutokukubaliana kwangu na Chama Cha Demokrasia ya Matusi hakumaanishi mimi ni mwanachama wa CCM. Ndiyo maana hata hapa nimempinga Waziri Mkuu anayetokana na CCM.
Kama wewe umeamua kuwa mbabe kwasababu ya ubabe wa chama chako, bila kujua ubabe unakusaidiaje, huo ndiyo unyumbu wenyewe!