Waziri Mkuu hana mamlaka juu ya shughuli za Ofisi ya DPP

Sasa ulipoleta andiko specifically juu ubabe wangu binafsi kwani tulikuwa tumeshamalizana na ubabe unaohusu vyama vyetu ambao ndiyo tulianza nao?

Tumalizane kwanza na ubabe juu ya vyama vyetu kama tulivyoanza navyo then twende level ya individuals.Siyo busara kurukaruka!

Mimi sina chama. Kutokukubaliana kwangu na Chama Cha Demokrasia ya Matusi hakumaanishi mimi ni mwanachama wa CCM. Ndiyo maana hata hapa nimempinga Waziri Mkuu anayetokana na CCM.

Kama wewe umeamua kuwa mbabe kwasababu ya ubabe wa chama chako, bila kujua ubabe unakusaidiaje, huo ndiyo unyumbu wenyewe!
 
Mimi sina chama. Kutokukubaliana kwangu na Chama Cha Demokrasia ya Matusi hakumaanishi mimi ni mwanachama wa CCM. Ndiyo maana hata hapa nimempinga Waziri Mkuu anayetokana na CCM.
Wapi nimesema kuwa wewe ni mwanachama wa CCM?
Kama wewe umeamua kuwa mbabe kwasababu ya ubabe wa chama chako, bila kujua ubabe unakusaidiaje, huo ndiyo unyumbu wenyewe!
Chama changu kipi hicho?
 
Wapi nimesema kuwa wewe ni mwanachama wa CCM?

Chama changu kipi hicho?

Umesema “...vyama vyetu...” Hiyo kauli inamaanisha at least unacho chama. Sihitaji kukuambia chama chako ni kipi; unakijua mwenyewe.

Hujasema mimi ni mwanachama wa CCM, lakini kila footage uliyoleta hapa ni ya kiongozi wa CCM. By inference, umesema mimi niko club moja na hao. Otherwise, what did you mean by bringing up those footages? I have already told you, I am not a member of any political party!
 
Umesema “...vyama vyetu...” Hiyo kauli inamaanisha at least unacho chama. Sihitaji kukuambia chama chako ni kipi; unakijua mwenyewe.
Ni kweli kabisa nina chama lakini sijataja hapa kuwa ni chama gani.
Hujasema mimi ni mwanachama wa CCM, lakini kila footage uliyoleta hapa ni ya kiongozi wa CCM. By inference, umesema mimi niko club moja na hao. Otherwise, what did you mean by bringing up those footages? I have already told you, I am not a member of any political party!
Sijataja mahali popote kuwa wewe ni mwanachama wa CCM.Ni kweli nimepost viongozi wa CCM lakini hiyo siyo iwe lazima kuwa nilikuwa namaanisha kuwa ni chama chako.Kwa kupost hizo picha what if kuna ujumbe nilitaka ukufikie lakini kwa bahati mbaya ukashindwa kunielewa au ukatafsiri vibaya kuwa nilikuwa namaanisha kuwa ni chama chako?
 
Sasa si afadhali PM hata kama anavunja sheria ya DPP kuliko mama Kibyengo kutwa kiguu na njia?

Alivunja uongozi wa soko la Kariakoo, hadi leo hakuna jipya. hatimaye soko limeungua
Na nina mashaka moto wa soko la Kariakoo ni majibu ya kuundoa uongozi huo. Uchunguzi wa kina unahitajika.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom