KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,706
- 4,428
Ndio mana kapotea kwenye RamaniMakonda alimdindia Waziri mkuu na Majaliwa cha kumfanya akashindwa.
Itakua katelephone anazima jina kila watu wakimtaja🤣
Ndio mana kapotea kwenye RamaniMakonda alimdindia Waziri mkuu na Majaliwa cha kumfanya akashindwa.
USSR hizi nicknames bado zipo! DahChama chenu kilijipambanua kupambana na rushwa siku hizi kimekuwa bandari ya wezi
USSR
Mimi huwa napigana vita kupinga wanasiasa kuvunja katiba wakati wewe huwa unashangaa mdomo wazi kama ulivyokiri hapa wewe mwenyewe.Akili zenu nyumbu mnazijua wenyewe tu! Kushangaa sio lazima useme unashangaa. Hata ninyi nyumbu mnapoingia kwenye streets za Twitter Republic na mabango yenu mkidai Rais anavunja Katiba, mnakuwa mmeshangaa bila kusema mnashangaa, kwasababu mnachokipinga kinakuwa kinakinzana na legislated norm. Vinginevyo, msitupotezee muda wetu na kelele zenu zisizo na kichwa wala miguu!
Mimi huwa napigana vita kupinga wanasiasa kuvunja katiba wakati wewe huwa unashangaa mdomo wazi kama ulivyokiri hapa wewe mwenyewe.
Mimi huwa napambana kulazimisha wanasiasa kufahamu na kuheshimu mipaka ya authorities zao wakati wewe huwa unawaomba wafahamu mipaka ya authorities zao kama ulivyofanya kwenye huu uzi wako.
Mimi huwa napambana kupinga wanasiasa kutoa maagizo yanayokinzana na katiba wakati wewe huwa unashangaa kama ulivyokiri kwenye huu uzi wako.
Nafikiri mpaka sasa utakuwa umeelewa ni nani nyumbu wa kuchonga na ni nani nyumba wa ukweli anaeishi kati yetu.
Watanzania Mungu anawaonaSasa si afadhali PM hata kama anavunja sheria ya DPP kuliko mama Kibyengo kutwa kiguu na njia?
Alivunja uongozi wa soko la Kariakoo, hadi leo hakuna jipya. hatimaye soko limeungua
UmejikanganyaWaziri mkuu anawajibika kwa raisi tu ndani ya Tanzania watendaji wote serikalini yeye ndio boss wao kila taasisi ya serikali unayoijua wewe Majaliwa ndio boss wao; anaweza kumpa amri hata IGP Sirro akiamua.
Waziri yoyote anamwakilisha raisi moja kwa moja kwenye sector aliyokabidhiwa, kauli yake ndio ya raisi; unless raisi mwenyewe aikane.
Unashangaa kuona watu kama hakina Sirro wanapata wapi kiburi cha kujibizana na mamlaka ya raisi.
Unapomletea ukaidi waziri ni kukaidi amri ya raisi mpaka raisi mwenyewe aipinge.
Hilo linawezekana kwa TZ, tu, na ni kutokana na ubovu wa katiba iliyopo!!waziri mkuu/rais hawezi, kumpa maagizo CAG, DPP, wala JUDGE, hata kenya tu walishavuka hatua hiyo.Eti kuna mihimili mitatu ya serikali!!!Waziri mkuu anawajibika kwa raisi tu ndani ya Tanzania watendaji wote serikalini yeye ndio boss wao kila taasisi ya serikali unayoijua wewe Majaliwa ndio boss wao; anaweza kumpa amri hata IGP Sirro akiamua.
Waziri yoyote anamwakilisha raisi moja kwa moja kwenye sector aliyokabidhiwa, kauli yake ndio ya raisi; unless raisi mwenyewe aikane.
Unashangaa kuona watu kama hakina Sirro wanapata wapi kiburi cha kujibizana na mamlaka ya raisi.
Unapomletea ukaidi waziri ni kukaidi amri ya raisi mpaka raisi mwenyewe aipinge.
Hakuna indecent language niliyotumia.Ulitaka akili ndogo niite kuwa ni akili kubwa?Mimi bado sijaanza kukutukana. Matumizi ya indecent language ndiyo mtaji ulioanza nao. Au una memory loss problem?
Kama ni Temeke hakusema hivyo. Ni uandishi mwa mwendo kasiKatika gazeti la Raia Mwema la leo, Jumatano, August 18, 2021, kuna habari kwamba Waziri Mkuu, Majaliwa, amewapa TAKUKURU na DPP siku nne kuwafikisha mahakamani watuhumiwa fulani wa ufisadi. Haya maagizo sio tu ni ya kushangaza, lakini pia ni ushahidi kwamba nchi yetu ina viongozi ambao hawajui mipaka ya kazi zao.
Hazihusiki,mahakama na bunge ni mihimili inayojitegemea.Katika mambo ya serikali hizo ofisi zinahusika? Kama ndio, waziri mkuu ndio msimamimizi wa shughuli zote za serikali.
Huyo jamaa ni mburula,hajui na hajui kama hajui.Acha upuuzi wa kuwadharau watu usiowajua wewe tambala la deki,huu Uzi unashida gani?? Mbona hii platform imejaa matahira wengi Sana?! Kuna haja gani ya kuchangia kila thread tena kwa kuwadharau wenzenu??
Sasa mkuu umesahau kuwa Judiciary na Parliament ni mihimili inayojitegemea na haitakiwi kuingiliwa na hao watu wa Executive government.Basi wewe utakuwa hauna kabisa.
Kwanza kasome ‘executive branch of government’ ni kitu gani. Halafu angalia katiba imetafsiri vipi majukumu ya waziri mkuu (ibara ya 52 kama sijakosea) na mawaziri (ibara ya 58) ni raisi tu ndio anaweza tengua maamuzi ya hao watu.
Hapana, anayo mamla ya kuwaagiza kutekeleza wajibu wao, ila ni kweli yeye hata Rais hawana madaraka ya kumwambia DPP au TAKUKURU ni kesi gani za kushitaki na zipi za kufutwa. Mama aliposema kuwa mkiona hakuna ushahidi wa kutosha msipeleke kesi hizo mahakanai alikuwa anatekeleza wajibu wake, lakini hana mamlaka ya kusema futeni kesi ya Seth au ya Rugemalila.Katika gazeti la Raia Mwema la leo, Jumatano, August 18, 2021, kuna habari kwamba Waziri Mkuu, Majaliwa, amewapa TAKUKURU na DPP siku nne kuwafikisha mahakamani watuhumiwa fulani wa ufisadi. Haya maagizo sio tu ni ya kushangaza, lakini pia ni ushahidi kwamba nchi yetu ina viongozi ambao hawajui mipaka ya kazi zao.
Ofisi ya DPP ipo kikatiba na ni ofisi ambayo inapaswa kufanya kazi zake bila kushinikizwa na kinyamkera yeyote yule. Charging decision ni prosecutorial discretion ya DPP. Akijiridhisha kwamba kuna ushahidi wa kutosha dhidi ya mtuhumiwa, DPP atapeleka kesi mahakamani. Vinginevyo hapeleki. Hapapaswi kuwa na mtu yeyote wa kumuagiza kufanya hiki au kutokufanya kile. Not even the President.
Wanasiasa, tafadhali sana fahamuni mipaka ya authorities zenu. Mnatia aibu
Calculus Vs GeometryNa ndio maana nikakwambia pitia kwanza vitabu vya siasa.
Kwanini nimekwambia ivyo bado swala la serikali ni nini linakupiga chenga.
Sasa wewe unataka tuzungumze calculus, wakati hesabu za geometry bado.
Anyway jioni njema.
Hilo linawezekana kwa TZ, tu, na ni kutokana na ubovu wa katiba iliyopo!!waziri mkuu/rais hawezi, kumpa maagizo CAG, DPP, wala JUDGE, hata kenya tu walishavuka hatua hiyo.Eti kuna mihimili mitatu ya serikali!!!
Sasa mkuu umesahau kuwa Judiciary na Parliament ni mihimili inayojitegemea na haitakiwi kuingiliwa na hao watu wa Executive government.
Na DPP yeye yuko upande wa Judiciary kama sikosei
Asante mkuu kwa ufafanuzi wakoYou do know wizara ya sheria na wizara ya mambo ndani ni departments ambazo zipo pande mbili government/judiciary.
Mfano polisi ndio ndio taasisi ya kuzuia uhalifu, inayokamata na kukusanya ushahidi, magereza inaweka wafungwa (hizi ni taasisi zilizopo mambo ya
Hakuna indecent language niliyotumia.Ulitaka akili ndogo niite kuwa ni akili kubwa?
Ulitaka tendo la woga wa kuogopa kukemea uvunjifu wa katiba na badala yake ukashangaa niliite kuwa ni tendo la kishujaa?
Ulitaka tendo la kuwaomba viongozi wetu wafahamu mipaka ya mamlaka zao niliite ni tendo la kiungwana wakati hayo yapo kwa mujibu wa sheria na ni wajibu wa viongozi kufanya hivyo?
Hawasomi katiba nafasi hawana.Katika gazeti la Raia Mwema la leo, Jumatano, August 18, 2021, kuna habari kwamba Waziri Mkuu, Majaliwa, amewapa TAKUKURU na DPP siku nne kuwafikisha mahakamani watuhumiwa fulani wa ufisadi. Haya maagizo sio tu ni ya kushangaza, lakini pia ni ushahidi kwamba nchi yetu ina viongozi ambao hawajui mipaka ya kazi zao.
Ofisi ya DPP ipo kikatiba na ni ofisi ambayo inapaswa kufanya kazi zake bila kushinikizwa na kinyamkera yeyote yule. Charging decision ni prosecutorial discretion ya DPP. Akijiridhisha kwamba kuna ushahidi wa kutosha dhidi ya mtuhumiwa, DPP atapeleka kesi mahakamani. Vinginevyo hapeleki. Hapapaswi kuwa na mtu yeyote wa kumuagiza kufanya hiki au kutokufanya kile. Not even the President.
Wanasiasa, tafadhali sana fahamuni mipaka ya authorities zenu. Mnatia aibu
Yaani haki ya kikatiba ya raia ya kuquestion utendaji pamoja na mienendo ya Serikali unaiita ni threats against government?WTF!!Kwani kuna mtu ametishia kuipindua serikali au kuua viongozi wa serikali au kuipiga serikali mabomu?talking tough and making empty threats to government officials, all while hiding behind a keyboard. (S)he is a decorated keyboard warrior, so to speak!