Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
Nashukuru kwa majibu kuhusiana na master plans. Je tumeshawahi kufanya tathmini ya kweli (Serikali) kujua kwa nini mipango miji imeendelea kukwama?
Mfano, je kulikuwa na Ulazima gani kuongeza Maghorofa katikati ya Jiji la Dar badala ya kupanua mji viungani na kujenga new Dar Es Salaam?
Swala ni pesa? kwamba hatuna uwezo? je kuweka foundation ya planya mji mpya na kuruhusu ujenzi wake kuendelea kutumia sekta binafsi hauko?
Sikonge an Nguruvi3 mmeongelea Dom kuwa na multiple districts ambazo ziko designated kwa mambo maalum, can Dar adopt the same? How about Mwanza, Mbeya, Iringa, Kigoma, Arusha na Morogoro?
Just curious..