Waziri Mkuu: Dodoma itaendelea kuwa Makao Makuu ya Nchi. Ujenzi utaendelea

Mama haipendi baridi ya Dodoma hata hivyo hapa Dar ni chap kwenda kwao Zenji nayo akaijenge kama Chato. Ruksa.
 
Kwani kuna mtu amewabishia kuwa dodoma siyo makao makuu?

Mbona wanajishuku?
 
...mmmm na sio huyu aliyetuhakikishia watanzania kuwa late president JMP yupo mzima na salaam katupa wakati ukweli president he was fighting for his life?(death bed)lini hawa politician's watajifunza kuongea ukweli?and to make things more worse he never appologies to us!kwa kutuongopea!i
Makabila mengine hawajui kutamka maneno yasemayo....SAMAHANI....
 
Sasa aliyesema Dodoma sio makao makuu ya nchi ni nani?

Huyu bwana ni miongoni mwa viongozi wa hovyo kabisa na hopeless
 
Back
Top Bottom