Waziri mkuu azindua kamusi ya kiswahili bungeni 19/6/2017

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,100
2,000
waziri.png
 

Joseverest

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
45,182
2,000
Pongezi sana kwa Waziri mkuu pamoja na BAKITA (TATAKI)...HII NI HATUA NZURI KWA MAENDELEO YA LUGHA YETU ADHIMU
 

James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
6,099
2,000
Naona umerudi ktk nafasi yako....lakini bakta na tataki ni taasisi 2 tofauti. Good luck to ur long lost position...... Hahaaa
 

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
11,354
2,000
Waziri Mkuu amezindua kitabu ambacho hajui maudhui yake. Hiyo kamusi ina makosa mengi sana, katika tafsiri ya baadhi ya vidahizo na michoro. Na kwa kuwa nakala yangu nilinunua moja kwa moja toka kwa wachapishaji, nadiriki kuiita kamasi kuu badala ya kamusi kuu.
hahaha tunasafari ndefu sana

sasa hata utafiti sijui huwa wanafanyia wapi au wakishaitwa ma profesa ni kujifungia tu ndani na kuongeza hiki na kile kisha kufyatua kitabu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom