Waziri mkuu awachambua CHADEMA; Lema amtuhumu kudanganya

Cku zote Afrika upinzani wanaambiwa wana leta vurugu bt hawataki kukiri kuwa viongozi wa vyama tawala ndio chanzo cha vurugu Afrika
 
Huyu mzee naye amekuwa mwongo, mwoga, mnafiki kazi kulia lia tu aende akafie zake huko na utoto wake wa ukulima
 
kuna vita ya CCM + NCCR MAGEUZI + TLP + UDP + CUF zidi ya CDM..kwa hiyo kama kuna mbunge wa CDM alipopata ubunge alitegemea mtelemko alikosea kazi ndiyo kwanza imeanza....
na sisi wananchi wapenda maendeleo tunapaswa kuwaunga mkono CDM kwa dhati...

Mh. Lema ameuliza hivi kiongozi kama waziri mkuu akiongopa bungeni anachukuliwa hatua gani? matokeo yake spika kaanza kujikanyaga ooh hawezi kudanganya...

Sawa na kumuuliza mtu''je uko uchi?'' atakwambia ''hapana sijavaa nguo tu''
 
waziri mkuu mi naona bora afute huo mpango wake wakujibu maswali ya moja kwa moja kwani siku moja utakuja kumuumbua kama si leo.
serikali yoyote halali iliyochaguliwa kidemokrasia haiwezi kuruhursu raia wake yeyote yule afe bila hatia na kama ikitokea kafa nilazima uchunguzi wa kina ufanyike ili hatma yake ijulikane.arusha watu walikufa iwe ni kwa makosa ya chadema au ya ccm au ya polisi ni lazima haki itendeke mahakama ihusike ukweli ujulikane,aliyesbabisha awajibishwe.
sasa waziri mkuu anakujana majibu mepesi kiasi hicho kwamba nimeambiwa cdm ndio walikuwa na makosa,haiingii akilini kwamba kwenye suala kubwa la raia wasio na kosa kufa waziri mkuu anategemea umbea wa mtaani kutoa msimamo wa serikali hii ni ajabu kabisa na ni utani wa kitoto ambao hauwezi kukubalika kwenye nchi ya kidemokrasia.suala la mery chatanda hata mtoto mdogo hawezi kilikubali.itafika mahali wabunge wa kuteuliwa wataamua ni mkoa gani wakawqe ni wajumbe wa baraza la madiwani hii haikubaliki kisheria wala kimantiki mwisho wabunge wote wa chadema wa kuteuliwa wataamua kwenda daresalama ili walidhibiti jiji hii haiingii akilini.
kifupi waziri mkuu kalidanganya bunge katoa data za kusema aliambiwa sijui na nani na keshatoa msimamo wa serikali.
cdm simameni kidete kuliokoa taifa linapelekwa kusiko.
nawewe mtoa mda badili kichwa cha habari yako andika hivi waziri mkuu alidanganya bunge.
 
Hivi tulitegemea Pinda amsifie Lema na chadema kwa chochote? mbona tunataka kuwa wageni wa siasa za mabavu?
 
Mbona Egypt polisi hawako katili kama kwetu ambapo viongozi wanaagiza waaandamanaji wauawe? Kama kinachotokea huko ingekuwa kwetu tungekuwa na wafu milioni mbili hadi leo
 
kweli chadema mnatakiwa kuwa makini na kwa sababu tunawaamini sana na kuna wanyonge wengi sana wako nyuma yenu hilo hata ccm wanalijua tunacho waomba pambaneni sisi kuwa support kwetu akuna taabu tuko pamoja na huyo waziri mkuu ni kawaida yake simshangai hata kwenye kikaoo cha kwanza cha kufungua bunge kauli zake ziliniboa sana kwa hyo siwezi kumshanga kwa hayo tena ya leo kuhusu vurugu za arusha lakini hata wafanye nini mziki wa chadema azimiki kwanza ndio umeanza
 
jamani PINDA ni CCM - na CCM wooooooooote si tunawajua jamani??? mlitegemea asemeje?? au aweje??? Ni MWONGO.............MNAFIKI...................ANAJIFANYA MTOTO WA MKULIMA WAKATI ANAKULA KUKU KWA MRIJA KILA SIKU .........

YAANI ANAJIFANYA HAJUI KUWA WATU WALIUWAWA KWA RISASI???? badala ya kuchukua fursa kuwapa pole wafiwa anaanza kutonesha vidonda vya msiba

SHAME ON YOU PINDA - Watanzania wa leo sio wa zamani - HATUDANGANYIKI na AKILI ZETU ZIMEAMKA - its just a matter of time - ........... wewe mwenyewe PINDA you will be out of office

GOD ANSWER PRAYERS ALWAYS
 
Inajulikana wazi Pinda hawezi kutia mchanga kwenye kitumbua chake. Na sasa huyo Pinda yuko na huyo mama Spika mtayasikia mengi ya ajabu na si ajabu tukasikia mama Spika amepigwa jiwe mbele ya wabunge.
 
kupinda ni kupinda tuuu. na mtu aliyepinda huwa hanyooki siku zote.
nimeamini kila jina lina maana yake angalieni sana majina mnayoita watoto wenu.l
 
hao wanaokutuma ipo siku mwisho wenu haupo mbali,chadema ndio chama pekee kinachoaminiwa na wasomi na wazalendo wa kweli..........nguvu ya umma itawaumbua hata mpige porojo kiasi gani dhambi anayoifanya pinda ya luwasaliti wakulima itamtokea puani muda sio mwingi
 
Toka lini serikali ya CCM ikakiri kufanya jambo baya kwa wananchi wake?Ni dhahiri kuwa hakuna hata siku moja mtawala akasema kakosea na kumsafisha mpinzani hivyo ni jambo la kawaida sana kwa sisi tuliozoea kuona mambo haya.
 
Hivi wanaJF, mlitegemea PM aseme Polisi na Serikali walitumia nguvu???? Katika kipindi hiki cha CCM kulindana, hoja ya pinda ni sahihi machoni pa Serikali yake na CCM na naamini kuwa ni haramu kwetu wananchi. Nafikiri tujadili mengine huyo tulishamfahamu kabisa!!!
 
ringo we na pinda hakuna utofauti kwani na wewe umeshindwa kufafanua ulitaka asemeje? na zaidi umeeleza umbea ambao hauna maana
 
hao wanaokutuma ipo siku mwisho wenu haupo mbali,chadema ndio chama pekee kinachoaminiwa na wasomi na wazalendo wa kweli..........nguvu ya umma itawaumbua hata mpige porojo kiasi gani dhambi anayoifanya pinda ya luwasaliti wakulima itamtokea puani muda sio mwingi
hizo zako nindoto za mchana za alinacha ila jipe moyo ila chadema kutawala nakuongoza nchi hii msahau milele chadema haitoweza kushinda uchaguzi na kuongoza taifa hili,hata hao chadema wenyewe wanalijua hilo,msinichukie huu ni mtazamo wangu.
 
Pinda mwongo mkubwa wewe, chadema waliandamana polis wakawapiga mabomu ya machozi na risasi sasa Pinda huwezi kutudanganya na CCm yenu. CCM = Lucifer/ devil i hate youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu CCM
Ungetoa hiyo Lucifer ukaacha Devil inageleta maana zaidi Lucifer ni jina zuri sana kama unaweza jishughulishe kulielewa...
 
Mh. Lema ameuliza hivi kiongozi kama waziri mkuu akiongopa bungeni anachukuliwa hatua gani? matokeo yake spika kaanza kujikanyaga ooh hawezi kudanganya...

kama zito alimtuhumu karamagi kuwa kalidanganya bunge akawa suspended, huyu kamtuhumu PM itakuwaje? au kwa jibu la spika ndio yameisha?
 
Back
Top Bottom