Waziri Mkuu awaamuru Madaktari kuripoti kazini Kesho!

Swafi sana.

Tna madaktari wa jeshini washike nafai, India, Egypt, Cuba kuna madaktari kibao hawana kazi, hao wanaodai madai yao kwa kufata mkumbo, iwe ndio mwisho na mwanzo.

Muwafutie na leseni zao.

Jifunze kiswahili
 
kama kweli Pinda kasema nawaagiza basi hilo ni tamko la serikali kwamba kweli imedhamilia kuwafukuza na kuanza upya. Ni heri kuwa na madaktari wapya wasio na ujuzi kuliko mabingwa wauaji.
 
jamani kazi hazipo wasomi wengi wako mitaani nashangaa hawa madaktari kweli watafukuzwa kisha serikali itachukua madaktari wapya wako mitaani bado hawana kazi hata wale wa hospitali binafsi wanaweza kuomba kazi serikalini kwani kuna fursa zaidi ya binafsi.

Hivi ww una akili au za kimagamba?hv kuna daktari asiye na kaz?na wakati madaktar wengi wako nje ya nchi,unapomaliza tu chuo unafanya internshp mwaka mmoja ili uwe daktar kamili,acha kuwa na akil fup
 
Swafi sana.

Tna madaktari wa jeshini washike nafai, India, Egypt, Cuba kuna madaktari kibao hawana kazi, hao wanaodai madai yao kwa kufata mkumbo, iwe ndio mwisho na mwanzo.

Muwafutie na leseni zao.

unaruka mkojo unakanyaga ma_i. gharama za kumleta na ku retain doctor kutoka cuba ni laki 7 eehe mama
 
Swafi sana.

Tna madaktari wa jeshini washike nafai, India, Egypt, Cuba kuna madaktari kibao hawana kazi, hao wanaodai madai yao kwa kufata mkumbo, iwe ndio mwisho na mwanzo.

Muwafutie na leseni zao.
inawezekana kabisa pinda akawa na busara kama yako.
 
Serikali ya CCM uozo mtupu.

Mimi naona madaktari wauaji ndio uozo mtupu. Hawawezi kuua wagonjwa kwa kisingizio cha kudai maslahi zaidi. Hivi hakuna njia nyingine ya kudai haki hadi kutuua wagonjwa? Mbaya zaidi mimi mgonjwa ndiye nilisomesha dokta kwa kodi yangu kisha nakwenda hospitali anagoma kunipa huduma nakufa eti kisa kagombana na serikali....upuuzi huu.
 
Yes warudi kazini
kwanza mgomo wao hauko orgainsed na haueleweki wanagomea nini.
 
Swafi sana.

Tna madaktari wa jeshini washike nafai, India, Egypt, Cuba kuna madaktari kibao hawana kazi, hao wanaodai madai yao kwa kufata mkumbo, iwe ndio mwisho na mwanzo.

Muwafutie na leseni zao.
Sio kosa lako..mmeshazoea kuomba omba na kusubiri watu wengine waje wawafanyie kazi
 
Kama madaktari wameamua kutumia nguvu kudai maslahi kuna kosa gani kwa serikali kutumia nguvu kuwashikisha adabu? Atakayeshindwa ndiye ataachia ngazi....ubabe ubabe tu.
 
madaktar watakuwa wamewahuzunisha wanyonge wengi kama kweli wataogopa hii statement ya Huyu mzee asiyejua anafanyanini pale magogoni.
 
kama kweli Pinda kasema nawaagiza basi hilo ni tamko la serikali kwamba kweli imedhamilia kuwafukuza na kuanza upya. Ni heri kuwa na madaktari wapya wasio na ujuzi kuliko mabingwa wauaji.

Huyu hapa dreamer mwengine,tangu lini madaktari wamekosa ajira? Tanzania tunayo kazi kweli.
 
Mimi naona madaktari wauaji ndio uozo mtupu. Hawawezi kuua wagonjwa kwa kisingizio cha kudai maslahi zaidi. Hivi hakuna njia nyingine ya kudai haki hadi kutuua wagonjwa? Mbaya zaidi mimi mgonjwa ndiye nilisomesha dokta kwa kodi yangu kisha nakwenda hospitali anagoma kunipa huduma nakufa eti kisa kagombana na serikali....upuuzi huu.

Unategemea dokta akuhudumie vipi wakati mazingira yao ya kazi ni mabovu, unataka akufanyie operation halafu akiache kiwembe ndani ya mwili wako ndio ujue kuwa mazingira yao ya kazi mabovu
 
Nina mashaka na elimu yako

Na mimi ni daktari kamwe sitadhubutu kudai maslahi zaidi kwa kuua watu nikishindwa kwa mwajiri niko radhi kuondoka serikalini kama wana maslahi kidogo basi nendeni kwa watu binafsi kwenye maslahi makubwa. kwa nini wanang'ang'ana serikalini kama hawalipwi vizuri. Hospitali binafsi nyingi tu zinahitaji madaktari wengi hatutaki huko kwani ndio kubaya zaidi ukiondoa hospiatli chache.
 
Mimi naona madaktari wauaji ndio uozo mtupu. Hawawezi kuua wagonjwa kwa kisingizio cha kudai maslahi zaidi. Hivi hakuna njia nyingine ya kudai haki hadi kutuua wagonjwa? Mbaya zaidi mimi mgonjwa ndiye nilisomesha dokta kwa kodi yangu kisha nakwenda hospitali anagoma kunipa huduma nakufa eti kisa kagombana na serikali....upuuzi huu.
haya majina ya humu ndani kumbe yanaendana na bongo za mtu uliona wapi mama porojo akawa na uwezo wa kufikiri. wewe umemsomesha nani, kwani mama ntilie pia siku hizi mnalipa kodi.
 
inawezekana kabisa pinda akawa busara kama yako.
kama kuna mtu anahusika moja kwa moja kutokea mgomo wa madaktari ni Pinda kwasababu ndiye amekuwa anamlinda Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya bi Blandina Nyoni. Waziri na naibu wake hawana sauti kwa huyo mama sababu analindwa na Boss wao Pinda.
 
unategemea dokta akuhudumie vipi wakati mazingira yao ya kazi ni mabovu, unataka akufanyie operation halafu akiache kiwembe ndani ya mwili wako ndio ujue kuwa mazingira yao ya kazi mabovu

huduma bora ziko wapi nenda muhimbili pale hata idara ambazo serikali imeweka kila kitu watakuzungusha mwezi mzima ni kisingizio tu.
 
Back
Top Bottom