Waziri Mkuu awaamuru Madaktari kuripoti kazini Kesho!

kama atakua amelonga nao na wakakubaliana itakua poa sana LAKINI KAMA NI AMRI BILA MAKUBALIANO NAHISI ATAKUA ANAJITAFTIA MAKUBWA

Tukirejea vichwa vya hbr ya jana,Ni kwamba leo j'pili alikuwa akutane na madaktari kwa kumaliza hilo tatizo la mgomo.

Lakini kama atakuwa anatumia AMRI hakika nakwambieni atajiibisha mwenyewe.
 
Kama ni amri bila makubaliano naimani hata hao waliobaki kuhudumia emergence watagoma mpaka manesi watagoma.
 
tatizo ni kwamba wanaweza rudi kazini lakini hukohuko kazini mgomo baridi ukaendelea nikimaanisha kuwa wasitoe huduma kama tulivyo tegemea
 
Pinda ni houseboy atakuwa kapewa amri na Vasco, jamaa siku hizi ameacha kufikiri kwa kutumia ubongo wake, mbaya zaidi anatumia ubongo wa vasco da gama ambayo nae ubongo wake ulipata degedege, no turning back Doctors.
 
Swafi sana. Tna madaktari wa jeshini washike nafai, India, Egypt, Cuba kuna madaktari kibao hawana kazi, hao wanaodai madai yao kwa kufata mkumbo, iwe ndio mwisho na mwanzo. Muwafutie na leseni zao.
NGOJA MADAKTARI WOTE NA MANESI WOTE NCHI NZIMA WAGOME NDO TUTAPATA MWAFAKA.!i
 
Swafi sana.

Tna madaktari wa jeshini washike nafai, India, Egypt, Cuba kuna madaktari kibao hawana kazi, hao wanaodai madai yao kwa kufata mkumbo, iwe ndio mwisho na mwanzo.

Muwafutie na leseni zao.
.
Leseni ni mambo ya kisiasa tu. Utaalamu na ujuzi wa kutibu uko kichwani mwao hutaweza kuwanyang'anya. wataenda kwingine watapata kazi bora zaidi ya hii na Serikali ndo itakayopoteza.
 
pinda kashauriwa vibaya.asubiri kesho madaktari wa nchi nzima wakikutana kujadili hiyo amri yake!!
 
Unaweza kukuta Pinda ametumia neno naomba madaktari mrudi kazini wengine wakasema pinda ameamuru/ameagiza kwa sababu za zao binafsi au kunukuu vibaya.
 
Wewe unatumia nini kuwaza kabla hujaandika, yaani watoe madaktari india kwa sababu madaktari wetu wamegoma kushinikiza kuboreshewa mazingira ya kazi yao? Hivi huyu Pinda kazaliwa wapi? Tz au DRC ?

Bana huyo ndio FF streetwise wa kariaako baada Wahandisi sasa Madaktari. Full of sound and fury signifying nothing.
 
Pinda amewaamuru madaktari warudi kazini kesho na asiyetii atakuwa amejifukuzisha kazi. kwa mujibu wa utumishi wa umma Waziri mkuu hana mamlaka ya kumfukuza kazi mtumishi wa umma akitumia utaratibu aliousema leo. Mwenye mamlaka hayo ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Na kwamba; Historia inaonyesha tishio kama hilo lilishawahi kutolewa na Rais Mwinyi, Waziri Anna Abdallah na Rais Kikwete kwa nyakati tofauti. Na katika Amri zote hizo ni ile amri ya Anna Abdalla pekee ndiyo angalau ilikaribia kushindwa, Lakini zingine zote ziliwafanya watumishi husika kufyata mkia na kurudi makazini.
Je, unafikiri hawa wa kizazi hiki watafanya tofauti na waliowatangulia?
TUTAFAKALI KWA SAUTI!!
 
Watawala na viburi vya madaraka,mtu anagoma kutoa huduma then kiongozi anatoa amri,nasikitika kuona hata mwenye kuaminiwa naye anaamua kuwa na kuburi cha aina hyo.Mbona safari hii ya kufika 2015 ni ndefu sana?kila jambo ni kupanda milima,tunakwea hatufiki.jamani tutafika kama kila mwenye madaraka anamamlaka ya kila kitu.serikali hii ni ya kifedhuli hakika!
 
Swafi sana.

Tna madaktari wa jeshini washike nafai, India, Egypt, Cuba kuna madaktari kibao hawana kazi, hao wanaodai madai yao kwa kufata mkumbo, iwe ndio mwisho na mwanzo.

Muwafutie na leseni zao.
Hao madaktari wa kukodi unaowataja watawalipaje na watafanya kazi kwenye mazingira yapi???....you people eh!! hawa madaktari wanagoma ili kutafta ubora kwa ufanisi wa kazi kwa madaktari wooote..hata hao wa kukodi unaowasema(hata hao walioko mikoani ambao hawakugoma).......lini watanzania mtaacha porojo kwenye mambo ya msingi???....tatizo la serikali ya tz hawana vipaumbele kwenye serious issues.....nyie mnafikiri kuwalazimisha madaktari warudi kazini ndio watawasaidia wagonjwa eh!!!...you are deadly wrong....go tell your friends kwamba udaktari unahitaji piece of mind....hii si profession kama yako ya kulima magimbi mkuranga......by the way....do you know tz kuna madaktari wangapi mpaka ufikirie kuwafutia leseni hawa drs?.....mind you...kufuta leseni hakumwondolei daktari ujuzi alio nao.....leseni is just a piece of paper.....go back and think.........
 
jamani kazi hazipo wasomi wengi wako mitaani nashangaa hawa madaktari kweli watafukuzwa kisha serikali itachukua madaktari wapya wako mitaani bado hawana kazi hata wale wa hospitali binafsi wanaweza kuomba kazi serikalini kwani kuna fursa zaidi ya binafsi.
 
Back
Top Bottom