Waziri Mkuu atoa pole kwa Prof. Tibaijuka kwa kufiwa na mama yake

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575




Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa,akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa mama wa Mbunge wa Muleba Kusini,Profesa Anna Tibaijuka, alipofika kutoa pole kwa wafiwa.Katikati ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Dk. Medard Kalemani na anayefuatia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni ,ambao waliongozana na Waziri Mkuu kwenda kutoa pole kwa wafiwa.



Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Kassim Majaliwa(kulia),akimpa pole Mbunge wa Muleba Kusini,Profesa Anna Tibaijuka,ambaye amefiwa na mama yake.Waziri Mkuu yuko mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi.



Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(kulia),akimpa pole Mbunge wa Muleba Kusini,Profesa Anna Tibaijuka, aliyefiwa na mama yake,marehemu Aurelia Kajumulo.
 
Tumsifu yesu kristu, awasalimie huko marekani, awaambie sisi Tu salama, bila kumsahau Emanuel nkulila
 
Ngoja niweke Silaha chini kwa muda ili nimpe pole mama wa hela ya mboga. Pole sana mama yetu RIP marehemu
 
Yale mabilioni ya Tibaijuka yalishindwa kuongeza au kununua uhai wa mama yake?
 
Back
Top Bottom