Waziri Mkuu atembelea kiwanda cha sukari cha Alteo nchini Mauritius

Wamauritius wengi wao ni Wahindi na nchi yao iko mbali sana kimaendelo ya Kiuchumi, siyo watu wavivu na wa blah blah kama sisi kutwa witch hunting tu, na ndiyo maana wanatoboa Kiuchumi!
Kweli ndugu itabidi tubadilike. Haya mambo ya kujadili watu kwenye mitandao hayaleti maendeleo kwenye nchi yetu.
 
Back
Top Bottom