Waziri Mkuu atatuambia nini tena TANESCO?

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
8,721
13,959
Siku chache zilizo pita tulipata shida ya LUKU kununua umeme mitandaoni.

Mh. Waziri mkuu akaenda Tanesco na kuondoka na wataalam wa IT. Tulidhani suluhisho limepatikana. Leo tena kuna shida ya manunuzi ya umeme mtandaoni. Nimepiga simu huduma kwa wateja wana sema kuna tatizo.

Mara hii Mh. Majaliwa ataondoka na nani?

Au tumuombenMh. Rais aondoke na vichwa wa wateule wake?

Hii sasa tuihesabu kama hujuma.
 
Ni kitu gani kimoja ambacho ulishawahi kushuhudia au jusikia kasimu kakipatia suluhisho? Kwa faru John hukuona mkuu? Hatujui hata sakata liliishia wapi so usitegemee miujiza zaidi ya blaablaa tu.
 
Watu bwana!, hiyo ni mitambo na toka tatizo lile litokeee wako kwenye maboresho, sasa kipi cha ajabu?yaani hata vyombo vinavyokwenda anga za mbali wakati mwingine huwa vinagoma na kuwatia hasara ya mabilioni ya $,

Ila kwa leo mtandao wa tanesco kugoma ni inshu kubwa,!!hadi mtake kila leo watu kufukuzwa?nenda kwenye ma bank huko, na maofisini ni jambo la kawaida tu.

Na wanapofanya maboresho lazima mambo kama hayo yatokee!!
 
Ni kitu gani kimoja ambacho ulishawahi kushuhudia au jusikia kasimu kakipatia suluhisho? Kwa faru John hukuona mkuu? Hatujui hata sakata liliishia wapi so usitegemee miujiza zaidi ya blaablaa tu.

Hiyo cha mutoto au mmesahau alitangazia dunia kuwa mwendazake yupo ofisini wakati kumbe ni -8C
 
Kwani kila error lazima iondoke na mtu? Maisha yangu yenyewe yana mikwamo mingi lakini sijawahi jiondosha.
 
Back
Top Bottom