Waziri Mkuu ashindwa kujizuia, aangua kilio msibani kwa Samwel Sitta

Nipo nasali ili nisichangie hapa. Maana kuna watu wanalia wakati matendo yao si mazuri, hawana hata chembe ya kumuenzi marehemu.
 
Wanaume wazima wanalia aibu wakati wanawake wako poa

Kweli kabisa!
Mama Mzazi wa Samwel Hajjat Binti Fundikira aliweza kujikaza kwny hatua zote za Msiba lakin Paul Makonda kamjua Samwel Sitta 2008 anajiona anahusika nae na Ana uchungu kuliko Mama Mzazi au Watoto wa Mzee Sitta!
Ukiwa Mwanasiasa usiamini hata kile kinachokujia kchwani kwako Kwan huenda ni cha uongo
 
Back
Top Bottom