Waziri Mkuu ashangaa Tanzania kuwa na wachambuzi wengi wa mpira huku haina kocha hata mmoja anayefundisha nje

Ukocha ni taaluma watu wanasomea ila uchambuzi ni maelezo tu ya mtu vile anavyoona mambo kwa wakati huo au uliopita.ata hivyo bongo hata hao wachambuzi hakuna,waliopo ni wasemaji tu ambao wamepata sehemu zakutoa mawazo yao jambo ambalo hilo linafanywa na kila mbongo ata kwenye vibanda umiza.maana kwa sisi wabongo kila kitu tunajua.
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom