MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,927
- 6,850
Mimi ama mwandishi wa WAPO FM?
Huyo mwandishi wa wapo fm yupo yupo tu, kanjanja wahead! Hiyo sio habari ya kuhangaika nayo.
Mimi ama mwandishi wa WAPO FM?
wenda hata mafuta yameanza kukata serikalini.
swissme
Umemaliza mkuuwenda hata mafuta yameanza kukata serikalini.
swissme
Ina maana hata PM ameanza kuisoma namba?wenda hata mafuta yameanza kukata serikalini.
swissme
Mwanaukoo hapa hukunielewa naona na wala huoni hatari iliyopo kati ya hao wananchi na hicho walichomfanya mwandishi aripoti!Mshana umekuwa mtu wa kukosoa tu hata yasio na maana sasa shida iko wapi Waziri mkuu kutembea na Kusalimiana na Jamii inayomzunguka, Yule ni Icon na public figure ana waandishi wa habari wanaomfata popote alipo sioni haja ya kutoka povu hivo mkuu
Tatizo mtoa mada ni mtu wa mazingaumbee.NA UHAKIKA HUJAMUELEWA MTOA MAADA
Isichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi
Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma Leo wamesifu kitendo cha waziri mkuu cha kutembea kwa miguu UMBALI WA MITA 200 kutoka makazi yake-ikulu ndogo ya Dodoma hadi ofisini kwake (zingatia mita 200)akiwa na walinzi wachache
Kitendo hicho kimetajwa kama kitendo cha aina yake chenye UADILIFU kilichookoa MAMILIONI YA PESA ambayo yangetumika kwenye msafara wa magari yasiyopungua sita
Tuupinge kwa nguvu zote huu upuuzi, mwendo wa mita 200 Katika uhalisia wake mtu anaweza kupanda gari na msafara?
Je kama Leo imeonekana ni ajabu ina maana siku zote ndivyo ilivyo?
Je kutembea mita 200 ni kubana matumizi?
Ni habari za namna gani hizi jamii inapewa?
Ina maana Dodoma leo kuanzia asubuhi hakukuwa na habari nyingine zaidi ya hii?
Hii breaking news imeniacha na maswali mengi
Asante sana kwa kujaNilivosikia hii habari nilishangaa, at first nilijua ametoka kule mlimani (makazi mapya) mpaka ofisn kwake nikawa namshangaa kweli huyu jamaa, ila kuja kujua ni from pale nyumba ya dodoma hoteli mpaka Tamisemi nikashangaa kwelikweli
sasa ulitaka aripoti nini???maoni ya jf ??mshana jr wewe ndo unakuza sasa mambo haikua na haja hata ya kuleta humu jf kama uliona huyo mwandishi kapuyanga...ni jinsi gani inaonyesha umekubaliana na hiko kilichofanywa na waziri mkuu pamoja na maoni ya hao wananchi..sasa hapo unataka tupinge nini,tumpinge waziri mkuu asitembee tena hizo mita 200 au tumpinge mwandishi??tupinge kipi maana hujasema chochote cha maana zaidi ya kunukuu kilichoandikwa na mwandishi tuuNi kweli imagine sasa haya ndio maoni na mwandishi kaona aripoti...sijasema ni taarifa ya serikali tafadhali
Kawaulize haohao WAPO RadioIsichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi
Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma Leo wamesifu kitendo cha waziri mkuu cha kutembea kwa miguu UMBALI WA MITA 200 kutoka makazi yake-ikulu ndogo ya Dodoma hadi ofisini kwake (zingatia mita 200)akiwa na walinzi wachache
Kitendo hicho kimetajwa kama kitendo cha aina yake chenye UADILIFU kilichookoa MAMILIONI YA PESA ambayo yangetumika kwenye msafara wa magari yasiyopungua sita
Tuupinge kwa nguvu zote huu upuuzi, mwendo wa mita 200 Katika uhalisia wake mtu anaweza kupanda gari na msafara?
Je kama Leo imeonekana ni ajabu ina maana siku zote ndivyo ilivyo?
Je kutembea mita 200 ni kubana matumizi?
Ni habari za namna gani hizi jamii inapewa?
Ina maana Dodoma leo kuanzia asubuhi hakukuwa na habari nyingine zaidi ya hii?
Hii breaking news imeniacha na maswali mengi
-mwandishi kaleta kama habari kamili! Mimi nimeleta kama hojajisasa ulitaka aripoti nini???maoni ya jf ??mshana jr wewe ndo unakuza sasa mambo haikua na haja hata ya kuleta humu jf kama uliona huyo mwandishi kapuyanga...ni jinsi gani inaonyesha umekubaliana na hiko kilichofanywa na waziri mkuu pamoja na maoni ya hao wananchi..sasa hapo unataka tupinge nini,tumpinge waziri mkuu asitembee tena hizo mita 200 au tumpinge mwandishi??tupinge kipi maana hujasema chochote cha maana zaidi ya kunukuu kilichoandikwa na mwandishi tuu
Weka akiba ya maneno.Wanaokoa milioni 10 ili wakahonge wabunge bunge linalokuja?
Hii style ya kubana matumizi ni kichekesho sana mwaka Huu......
Ukitaka cha uvunguni sharti uiname.Mahaba niuwe....ukipenda chongo huona kengeza! Ukipenda pengo huona mwanya