Waziri Mkuu anapotangaza Pombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Mkuu anapotangaza Pombe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Dec 25, 2010.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  One minute I admire kuwa yuko shambani kwake na anatonyesha mfano

  Next minute naangalia kwa makini kumbe kavaa nguo ya kutangaza Pombe

  Makes you wonder hii vita ya madiwani dhidi ya utititri wa unregulated Bars mitaani kwetu itakuwa ngumu sana. Huu si mfano mzuri kwa watoto wetu. Its ok watu wanywe lakini pia PM lazima naye ajue madhara makubwa ambayo pombe inaleta kwenye jamii.

  Why not wear T SHIRT ya JWTZ au something promoting Kilimo kwanza?

  tazama picha hii hapa:

  MICHUZI
   
 2. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  inatosha kuona walau yupo shamba na anawajibika sawa sawa.
  Kuvaa tshirt hiyo anaonesha ni namna gani alivyo mtoto wa mkulima,kwamba anapewa zawadi kama rushwa ya tshirt,kanga na kofia za CCM kwa walalahoi na kwakuwa hawana namna nyingine inabidi iwe hivyo tena,xmass,mikutano mbalimbali vazi ndio hilo.
  BTW Pinda anawajibika shambani na kuvaaa tshirt hiyo huko shambani inaonesha kuichukulia ya kawaida sana na sio kwa lengo la kutangaza biashara.
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Wakuu kama inawezekana ibandikeni hiyo picha humu kuliko kuweka link inayotutoa hadi kwenye hiyo blog.
  Wengine tunatumia browsers za simu.
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  avae T-shirt ya JWTZ? kwani inji iko vitani?
   
 5. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoto wa Mkulima. Mimi naamini ana haki ya kutangaza pombe. Kwani ameslim lini mpaka pombe iwe haram kwake?
   

  Attached Files:

 6. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,638
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Mimi hapa nasoma bandiko hili nikiwa na bia pembeni..bariiidi!
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280

  The Dreamer wacha zako.............

  Wanengua show wengi ni Muslims na hawanengui mpaka ama wachape maji au watafune kubeli
   
 10. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahahahahahahah! Wabheja!
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona pinda nauza apo
   
 12. Y

  Yetuwote Senior Member

  #12
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu PM anadhihirisha kuwa ni mtoto wa mkulima ingawa siyo sifa. Kama PM sioni sababu ya kusema yeye ni mtoto wa mkulima kwani > 80% ya waTZ ni wakulima au wametoka huko huko.

  Kuhusu hiyo T shirt, sioni ubaya. Kwanza si kweli kwamba anatangaza pombe, kinacho onekana ni neno TUSKER tu, Hakuna alama ya Chupa, Umejuaje kuwa hilo ni tangazo la TUSKER Beer? Nimemuuliza kijana wanga maana ya neno TUSKER akasema is an elephant bearing tusks.
   
 13. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 4,000
  Trophy Points: 280
  wewe acha u-radical...BTW tukiacha hiyo T-shirt naona kama tukio zima ni public stunt? haijakaa vizuri kwangu mie
   
 14. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mbona kwanza aliyovaa ni Jersey zile wakati wa Michuano ya Tusker?? Si unaona hiyo nembo ya Uhlisport ambayo ni kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo.

  Hii ni katika kusherehekea ushindi wa Stars.

  Mbona hii poa kuliko nyie mnaomvaa Shakira mtafikiri mnamjua
   
 15. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mtoto wa mkulima hajui atendalo.
   
 16. Supa.engineer

  Supa.engineer Member

  #16
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sioni kama anafanya chochote cha kumsaidia mkulima wa tanzania. only nyerere and sokoine succeded, the rest ulaji mtupu.
   
 17. smati

  smati Senior Member

  #17
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  hapo tumboni kaweka nini?????
   
 18. F

  Fenento JF-Expert Member

  #18
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimeipenda sana ! Huyu nikiongozi mzuri kati ya wachache ambao wamo kwenye serikali ya CCM lakini ameshindwa kuibadili system ya serikali yake ambayo ni uoso mtupu.
   
 19. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #19
  Dec 25, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  For some reason I kinda admire the man.

  Hiyo picha speaks a thousand words. Tatizo ni hiyo Tshirt lakini nimetonywa kuwa mimi na yeye we have one thing in common: sote sie ni KANDAMBILI

  lakini pamoja na hayo. Angevaa tshirt ya Suma JKT
   
 20. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #20
  Dec 26, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  huyu babu ana stunt! ataendaje kulima akiwa kavaa mawani? wee babu wewee! tena siku ya krismasi siku zote ulikuwa wapi?
   
Loading...