Waziri mkuu anapokwenda holiday na mkewe

..hivi hamkumuona Kikwete na Salma wamepanda bembea walipokwenda Jamaica?

Hiyo ilikuwa aibu ya taifa maana angetakiwa hata kuwaza kidogo Je lingedondoka kwa uzito mkubwa ingekuwaje nani angegharamia matibabu
 
Taarifa rasmi ni kwamba kila waziri Tanzania akisafi anakaa first class yeye wasaidizi wake mpaka personal secretary wake hii ni dhambi ya anasa kwa taifa letu.
Kuhusu ATM nadhani pia wadau wote mnakumbuka ile scandal ya waziri wa madini Ngeleja pale JMall alivyogongewa mlango kutokuongea na simu ndani ya chumba cha Atm huku watu wanasubiri huduma baada ya siku kadhaa askari aliyemgongea akatimuliwa kazi
 
Its obvious kuwa WATAWALA (sipendi kutumia neno VIONGOZI) wetu are so detached from the rest of us.

Its no secret
 
_DSC1058.JPG
Huyu ni Makamu wa JK.....YUKO LIKIZO.....na wake WAWILI.....
Hivi huyu mzee ana wake wawili? Dunia ya leo bado kuna wanawake wanakubali kubanwa mbavu kwa zamu na kibabu?
 
Back
Top Bottom